Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Miezi miwili mitatu hii ya karibuni nlikuwa Dar, sasa katika pitapita zangu mitaani kuna wimbo flani wa singeli ulikuwa ukisikika karibia kila mahali.., Una beat flan zuri afu ndani yake kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaaam ndugu zangu, Samahani nataka kujua zaidi juu ya huyu msanii. Ametokea na anaishi wapi? Ana nyimbo ngapi na zipi? Meneja wake ni nani? Amenivutia sana na ana kipaji cha kipekee kabisa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
#REPOST WASAFI TV Hakuna kitu kinaumiza kama kumpoteza mtoto wa kwanza. Diamond platnumz yupo katika majonzi makubwa sana. Habari nikwamba Harmonize hana ugomvi na Baba yake kimziki Diamond...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi nipo hapa jet iko foleni moja matata magari yamezimwa kabisa,, niambie wewe uko wapi
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Maana jamaa wa mawingu ni kama pumzi inakata kila kona wasafi & muziki munene fm...mawingu wakubali enzi zao zinachikichia sasa
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi namba 5 Jason stratum bwayhermitTz
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwa wanaopenda miziki ya miondoko ya Reggaeton, Raggamuffin, Dancehall, Pure Reggae n.k Nadhani tunamfahamu zaidi Bob Marley na hasa kundi lake alilokulia la The Wailers, ila na baadhi ya wakongwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kuangalia Ile mechi je unaongeleaje uwepo wa Allison Jana?
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Jana mechi ya Liverpool na Chelsea ya finali ya Super Cup. Chelsea alipiga mpira mzuri Sana hata baada ya kusawazisha goli la pili. Lakini kilichotokea mabigwa walishinda game. Vivyo hivyo finali...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Wanaoucheza muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki. Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Zimekua zikiongoza kwa kuua watu wengi kwa wakati mmoja Sikia huu wimbo jamaa alivyoimba kwa hisia kumuimbia rafiki yake aliekufa Kwa ajali huko morogoro
1 Reactions
12 Replies
2K Views
BONYEZA LINK >
0 Reactions
1 Replies
3K Views
09-07-2019. "KOFFI OLOMIDE" kafungua mkutano na Wandishi wa Habari kwa maneno haya kabla yakuanza kujibu maswali : 01. Kwanza namshukuru Mungu kuniwezesha kufika tena Jijini Paris,baada ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wana JF wenzangu kuna swali linanitatiza hapa... Nahitaji kujua maana ya "REACTION" za nyimbo ... Yaani kwa mfano ‘Yo Gotti — Down In the DM’ nimekuwa nkiangalia hata hizo videos but...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mzee mzima anatisha, LeGrand Mopao
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simulizi: SALHAT Sehemu: 01 Mtunzi: Salma Ramadhani Ulikuwa usiku wa manane ulioambatana na radi za kutosha huku mvua nyingi na Kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo ya Arusha mtaana wa...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Wakuu kila jumamosi kuanzia saa 5 asbh hadi saa 7 mchana wanacheza olds za kufa mtu kwa sie vijana wa zamani Kipindi kinanikumbusha mbali sana
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Here in Detroit Mi. the mayor was accused of cheating on his wife and lying under oath..... text messages where retraced from 2002..... the discovered the text messages in 2007..........Can my...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu Dada namuelewa sana. Ni bonge la comedian .Ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha . Mimi ni moja kati ya watu ambao nilikuwaga siamini kama mwanamke anaweza kuwa funny. Nasra Yusufu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom