Ali Kiba tena

Ali Kiba tena

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,644
Reaction score
3,856
I'd rather die than faking life.

Anasema yeye hawezi ku fake life. Bora afe akiwa real kuliko ku fake maisha. Hivi najiuluza huyu jamaa mbona anaongea vitu ambavyo havina msingi. Hajui kuwa hata hao wanaoishi maisha ya juu kuliko yeye pia ni maisha yao sio wana fake. Link hiyo hapo someni wenyewe wadau

kwani amesema nini kibaya hapo mkuu, ni bora tukubaliane kutokukubaliana. Unataka kila mtu awe humble mbele ya camera eti kwa kuwa yeye ni star, aah haiwezekani
 
kwani amesema nini kibaya hapo mkuu, ni bora tukubaliane kutokukubaliana. Unataka kila mtu awe humble mbele ya camera eti kwa kuwa yeye ni star, aah haiwezekani
Wale wanaoishi maisha wanayoishi sio kama wafake, ni maisha yao. Sasa mtu kama ana pesa akiwa na manodyguard anafake maisha? Yeye kama hawezi ishi hayo maisha atulie tu na si kisema wengine wanafake
 
It’s his opinion and that should be respected. Speaking his mind out it’s his right.
 
I'd rather die than faking life.

Anasema yeye hawezi ku fake life. Bora afe akiwa real kuliko ku fake maisha. Hivi najiuluza huyu jamaa mbona anaongea vitu ambavyo havina msingi. Hajui kuwa hata hao wanaoishi maisha ya juu kuliko yeye pia ni maisha yao sio wana fake. Link hiyo hapo someni wenyewe wadau

Tatizo lako unakurupuka kama ww ni ME embu sikilize vizur utaelewa kiini cha yote alioongea kama ww ni KE sinachakukushaur
 
Back
Top Bottom