Habari ya asubuhi wana Jf
Kama kichwa kinavyosema nimesikiliza WASAFI FM kutwa cjasikia ngoma ya konde na huko nyuma haikuwa hivyo..ilikuwa kila baada ya dk lzm usikie ngoma ya konde lakini sasa hivi imekuwa tofauti..
Kila mtu hataki kunyoosha maelezo nini kinaendelea