Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kama nilivyo anza juu ni kujua nani anauwelewa na amewahi kupeleka nyimbo Redioni ili tupate kujua alitumia njia gani kupeleka
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KURUDI KWA MOZA :1 Moza alikuwa msichana mrembo ila aliishi maisha ya shida na kumfanya ajaribu kufanya kazi za ndani, na kwa bahati akapata kazi kwenye nyumba ya mama mmoja tajiri, aliyejulikana...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna movie inaitwa ninja mtoto imetoka aisee nikisanga bongo movie wameitendea haki mwenye nayo anitumie. Itafute youtube.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wote wa epl, tukuje hapa, hii ni thread yetu maalum kwa ajili ya kujua timu zetu tunazo shabikia, madhaifu ya kila timu na utani kwa wingi Napenda tusiusishe matusi wala majina ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
is a background song from the best series from Ghana "passion of the soul" ENJOY
2 Reactions
2 Replies
922 Views
SEHEMU YA 01: Mama alikaa uani akiosha vyombo. Aliponiangalia nikitoka chumbani kwangu aliacha kuosha, akaonesha dalili za kuzubaa huku akinikazia macho na kuniuliza… “We Tina una nini… mbona...
2 Reactions
53 Replies
93K Views
Mobile Service, ya Movies na Series kali kabisa. Huduma inakujia mpaka Mlangoni kwako. Unachotakiwa kufanya ni kupiga namba hizi :- +255627929637 / +255747246894. HUDUMA ITAKUFWATA ULIPO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jina halisi la filamu ni “Adventure of Tarzan”. Washiriki wakuu katika filamu hii ni Hemant Birje (Tarzan) na Kimi Katkar (Rubi). Mtunzi na muongoaji wa filamu hii anaitwa Babbar Subash...
6 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za usiku bandugu, poleni na majukumu ya kila siku na changamoto za hapa na pale, kikubwa uzima tu na kumshukuru Jah! Turudi kwenye title ya uzi hapo juu, hiyo ngoma iko na ujumbe wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nautafuta wimbo wa mwanamuziki TONY CURTIS unaitwa BOOM SHE BOOM. Naomba yeyote alienao anipe link yake ya mp3 au auweke hapa kwenye huu uzi. Naomba...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Producer anaesuka beat kali kuliko wote kwa sasa tanzania ni nani? Uzi tayari
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Check these cars... Mazda KARZAMAI Halafu angalia hii Mazda Biante Mazda Hakaze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Game Loading... Welcome to PS... Wait... ______________________________ Wakuu sina maneno mengi ila kama wewe ni mdau wa hii kitu tukutane hapa. Binafsi naiwaza CALL of DUTY 'Modern' nasikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara yako ya kwanza Kuangalia video za utupu, ulifundishwa na nani?. Mimi safari yangu ya kuziangalia Nilikuwa na kijiwe naweka miziki kwenye Simu, Nilianza Kuziona kwenye Memory card za wateja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nimeleta thread hii tujuzane, kukumbushana na kusaidiana kupata nyimbo mbalimbali za kikongo(BOLINGO, NDOMBOLO, MAYENU SOUKOUS, ZOUK n.k.). Pia kupata habari za wasanii wa congo wapi walipo...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Na AnonymousAfrica Mziki mzuri upo bongo aisee. Wasanii wa Tanzania wameushika mziki kwa kila aina ya muondoko. Ukitaka Hip Hip Tanzania wapo wasanii wengi na mahiri katika muondoko huu wa hip...
1 Reactions
4 Replies
44K Views
www.OldSchoolMusic.net
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Ni mida ya saa kumi na moja saa za jioni kijana anampigia simu rafiki yake na kusema "samahani rafiki yangu ninashida na hela, mama yangu anaumwa na hapa nilipo sina pesa ya matibabu. Rafiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa JF. Yaliyojiri Mkoani Mbeya Leo kwa picha. Dr Tulia azidi kuthibitisha ubora wake. Masahihisho! Tamasha lilifanyika Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nalikubali sana hili game kiasi kwamba nimekua addicted nalo tangu nianze kulicheza tangu 2018 January.Kwa sasa nina black balls 45 akiwemo messi, Ronaldo, De bruyne, Lewandoski, Mbappe,Allison...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom