Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 251
- 508
Moja ya vitu ninavyopenda ninaposhika kifaa chenye Internet access ni kustream videos mbalimbali kupitia Youtube.
Kuna maelfu ya channels ambazo hutoa videos zenye kugusa mambo mbalimbali kwanzia Elimu, burudani, siasa, dini, uchumi n.k.
Ni kama vile hapa jF yalivyo majukwaa yenye kugusa vitu mbalimbali.
Wapo wanaoangalia video yoyote itakayokuja kwenye suggestions. Lakini wapo pia wale wanaongalia specific video.
Kwa kuwa kuna maelfu ya channels ambazo sio rahisi mtu kuzijua zote. Basi uzi huu ni wa kuambizana channels zinazotoa nondo za ukweli kutokana na kile mtu anachopenda.
Wapo wanaopenda muziki, michezo, comedy, siasa, movies, documentaries n.k.
Baadhi ya channels ninazozikubali ni hizi
1. Documentary Tube
Hii huonyesha vitu mbalimbali vya kiteknolojia vinavyofanya kazi. Kama huwa unajiuliza kitu fulani huwa kinafanyaje kazi (How it works). Basi hapa utapata majibu.
2. Learn Engineering
Hii haina tofauti na ya kwanza.
3. Free Documentary
Hapa kuna documentaries zinazogusa vitu mbalimbali.
4. Timeline-World History
Hii inaelezea matukio mbalimbali yaliyotokea kipindi cha nyuma mfano World Wars, na mengineyo.
5. NASA
Wengi tunajua NASA inashughulika na nini. Basi kuhusu mambo ya space exploration hapa pana nondo za kutosha.
6. Rebel Tv
Hii inaonesha pranks sana sana
7. That was Epic
Hii nayo inahusu pranks pamoja na clips nyingine zenye kufurahisha.
8. Mark Angel comedy
Hii wengi wetu tunaijua.
9. SamSpedy
Hii nayo ni channel ya comedy huko Nigeria. Vimbwanga vya Ojo na mama yake ni burudani tosha.
10. FlightExperience
Kwa wale ambao ni wapenzi wa kusafiri na ndege au wanatamani siku moja wasafiri na ndege, basi hii channel inaonesha vitu mbalimbali pale unapokuwa airport hadi onboard.
11. 5-minutes craft
Hii inaonesha life hacks mbalimbali. Kuna vitu unaweza kuona ni vigumu kufanya, au hujui vinafanyikaje basi hapo utajionea mambo mbalimbali yanvyofanyika tena kirahisi kweli.
12. SuperSport
Hii ni kwa ajili ya highlights na reviews za mechi mbalimbali.