Je, unaijua movie hii?

Ndombe Mubele

JF-Expert Member
May 19, 2019
209
457
Habari zenu humu,

WanaJF, kuna movie moja ya kitambo hivi kidogo imechezwa Marekani, kuna mtu mmoja mfupi alikua anafanya mauaji ya watu. Huyu mtu hata akipigwa risasi alikuwa hafi lakini baadaye alikuja kuuliwa na majani ya karafuu.

Kwa anaeijua naomba anitajie jina maana nimeitafuta ila sijaipata kwa kuwa jina lake silijui.
 
Back
Top Bottom