Anaeijua hii muvi anitajie

Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
570
651
Iko hivi kuna jamaa alikua mjanja mjanja sanaaa alikua anafanya mtukii na anajificha aliwahi kufanya tukio na mtaa mzima kuna kamera akawa ana zikwepa. Kuna kipande kingine alipigwa risasi akatupwa baharini wavuvi wakamuokota wakawa wanamtibu ad akapona . In short jamaa alikua mjanja mjanjaaa. Kama skosei ilikua na vipande kama vitatu ivii
 
Kama ndiyo ninayo isema itakuwa inaitwa The Bourne Identity
Kama hii
Screenshot_2019-10-26-14-37-02.jpeg
 
Iko hivi kuna jamaa alikua mjanja mjanja sanaaa alikua anafanya mtukii na anajificha aliwahi kufanya tukio na mtaa mzima kuna kamera akawa ana zikwepa. Kuna kipande kingine alipigwa risasi akatupwa baharini wavuvi wakamuokota wakawa wanamtibu ad akapona . In short jamaa alikua mjanja mjanjaaa. Kama skosei ilikua na vipande kama vitatu ivii
Borne jason... Ina IDENTITY, SUPREMACY N LEGACY
 
Upo vizuri!!..salute
Nikivyotizama hii Jason Bourne kuna kitu kilinifikirisha.
Hivi ni kweli US wameshafikia kutengeneza watu kama Jason Bourne?
kwa maana ya kuwa na watu waliowpotezea historia za maisha yao ili wawe gvt properties ?
Cause hii concept nilishawai isikia hapa Bongo pia kuwa huwa wanachukua watoto yatima na kuwakuzakuwa maaskari baadaye ukubwan?
 
I hope ushawahi soma research A.Hitler alizokuwa anafanya kutengeneza Supersoldiers!. Imagine hiyo ni 1945s je leo 2019 black projects kama zile zitakuwa stage ipi!?.
Haya mambo me naamini yanawezekana sema kwa ajiri ya mgongo wa Human Rights haiwezekani kutangazwa!.
 
Back
Top Bottom