Mwijaku mbona kimya uko wapi?

Mwijaku mbona kimya uko wapi?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,714
Kuna Msanii anajiita Mwijaku amekuwa anaonekana sana Instagram, vipi mbona toka itokee skendo ya Menina ya kusambaa kwa picha za utupu haonekani? Nini kimemsibu Msanii Mwijaku?
 
Hili swali lingejibiwa vzuri kama ungeuliza huko huko unakomuonaga! Instaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom