Munira avuka boda kumfuata Mboso

Munira avuka boda kumfuata Mboso

dogoodesign

Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
41
Reaction score
21
Mwanadada kutoka Kenya binti mrembo Munira avuka boda kuja Bongo kumfuata Mboso Khan. Mwanadada huyo amesema hawezi kuondoka Bongo hadi Mboso amkubalie na zaidi akimkatalia atakunywa sumu.

Angalia interview yake hapo chini.

.
IMG_20190924_073826.jpeg
 
dogoodesign

Mwanadada huyo pia ametanabaisha kuwa endapo Mbosso atakataa basi yupo tayari kujiua.

Wonders shall never end.
 
Daah ningefanyiwa hivyo na huyo mrembo ningehisi dunia yote yangu,

Ghafla mlio wa message ulinitoa kwenye dimbwi la mawazo

Ngr ngr

(NewMessage)
From:mwajuma ndala ndefu:

Baby ntumie Ile pexa ya kjora
Xaxa hv nliyokwmbia nna xhida nay.

😞
Hapo ndio utaelewa kwamba sio kila mtu ni binadamu😟☹️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Daah ningefanyiwa hivyo na huyo mrembo ningehisi dunia yote yangu,

Ghafla mlio wa message ulinitoa kwenye dimbwi la mawazo

Ngr ngr

(NewMessage)
From:mwajuma ndala ndefu:

Baby ntumie Ile pexa ya kjora
Xaxa hv nliyokwmbia nna xhida nay.

[emoji20]
Hapo ndio utaelewa kwamba sio kila mtu ni binadamu[emoji45][emoji3525]
 
Hahahahaha. Mtumie tu
 
Back
Top Bottom