Dullysykes ft lavalava balaa

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,774
19,144
Ngoma yenu ni Kali nimependa dullysykes unaonesha bado bado upo Sana kweny game na pia nimependa corus Kali ya lavalava.

Hadi sasa hiv ngoma zangu Kali za sasa ni hizi
1.mauasama niteke
2.mario raha
3.lavalava Habib
4.dullysykes ft lavalava
Ila ngoma ya maua sama ni habari nyingine.
 
Hizo ngoma zote zinafunikwa na UNO
united nations organization
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom