Wazee wa breaking bad, El camino imetoka jana

Escaper

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,780
3,232
Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) .

Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na mwisho kuonesha maisha yake mapya baada ya episode ile ya mwisho.

Unaweza ipakua ukainjoi kumalizia dude hili pia mlioiona hii movie msisite kuweka mawili matatu hapa chini kuuenzi mziki mnene wa Mr Walter White bila kumsahau mtaalam Gustavo Fring (Huyu jamaa genius mtakatishaji fedha).
images.jpeg.jpeg
 
Breaking ba iko bomba...Ila toka nione El camino imetengenezwa na Netflix basi nadhani itakua ya hovyo tu.
Sijawahi penda muvi wala series za Netflix ukiondoa Money Heist
 
Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) .

Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na mwisho kuonesha maisha yake mapya baada ya episode ile ya mwisho.

Unaweza ipakua ukainjoi kumalizia dude hili pia mlioiona hii movie msisite kuweka mawili matatu hapa chini kuuenzi mziki mnene wa Mr Walter White bila kumsahau mtaalam Gustavo Fring (Huyu jamaa genius mtakatishaji fedha).
View attachment 1230593
Hii ni single movie?
 
Better call Saul

Haahah Pinkman ni kilaza wa hali ya juu kuna episode Walter anaamuuliza pinkman kuwa hivi ukilaza umerithi? Au ulishaawahi kudondoshwa utotoni
 
Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) .

Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na mwisho kuonesha maisha yake mapya baada ya episode ile ya mwisho.

Unaweza ipakua ukainjoi kumalizia dude hili pia mlioiona hii movie msisite kuweka mawili matatu hapa chini kuuenzi mziki mnene wa Mr Walter White bila kumsahau mtaalam Gustavo Fring (Huyu jamaa genius mtakatishaji fedha).
View attachment 1230593
Umeharibu uliposema imepoa! Siipakui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom