Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Baada ya 24 Legacy kuwa cancelled, wadau wakawa wanaitupia macho PB ambayo tangu kutoka kwa Season 5, hapakuwa na taarifa yoyote ikiwa pangekuwa na Season 6 au ingekuwa cancelled. Kwa muda mrefu...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu bila shaka mu wazima wa afya Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki. Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Jamani natafuta wimbo ya Sam wa Ukweli mwezi wa pili siipati inaitwa maisha ni kupanda na kushuka kiitikio chake "hawakujua maisha ni kupanda nakushuka "hawakujua pesa...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Ni manjonzi kwetu sisi wapenda haki ulijitahi kwa uwezo wako wote kadiri Mungu alivyokujalia tulipenda Sana kuendelea kua na wewe kwenye mapambano kamanda wangu umetutoka katikati ya kilima...
1 Reactions
4 Replies
972 Views
Ladies and Gents wapenzi na ma fanz wa Prison Break and Michael Scolfied, on April PrisonBreak Season 6 is out..! Wentworth Miller as Mike scolfied ali announce kwenye page yake ya Fb mwezi mmoja...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu Kati ya FIFA na PES ni lipi gemu Bora kushinda lingine. Ningependa niulete mjadala huu kwenu wanajamii forum tujadiri hapa Kati ya FIFA na PES...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Inauma sana kwa hawa ndugu zetu maana baadhi ya ndugu wamekuwa wakipoteza maisha kwa ajili ya unazi wa hii club. Ivi Edwoord ward anaelewa kweli au kusikia haya. Wadau wa michezo mnaonaje mwenendo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naombeni jina la wimbo au link niudownload maana ni bone la song kwa kweli
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BINAMU YANGU-01 ROBIN MIHO 0776741545 Ni saa tatu usiku mvua ya wastani ilikuwa ikinyesha taratibu huku upepo ukivuma hapa na pale,nilifumbua macho kivivu na kugundua ya kwamba nilikuwa...
2 Reactions
12 Replies
14K Views
Ukiacha namna ya kutafuta series kupitia index/serial au torrent namna nyingine ya kupata tv series? maana nimekuwa nikitafuta tv series kwa kutumia google search index/serial au sometime episodes...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Ingawa kazi yake rasmi ilikuwa ni kusafisha na kutengeneza kucha mitaani, alifanya kila kazi iliyomjia mbele yake. Alibeba mizigo, alizoa taka majumbani mwa watu, alichota maji na kuwauzia wateja...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukitaka kufanya kazi utaanzia nini hasa, kazi ndio uombe ushauri au ushauri ndio uanze kazi.....unafanya nini??
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Kwa mtazamo wangu naona isumba lounge chini ya DJ JD na fast Eddie ndio ina rock hapa town kwa vijana wa zamani.the place ni super classic
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jumatatu njema
2 Reactions
3 Replies
817 Views
Mwandishi: RM the brave faili namba 25 01 Hisia za kukumbatiwa na mtu pale kitandani zilinigutusha toka kwenye usingizi mzito,nilijigeuza kivivu na kukutana uso kwa uso na mpenzi wangu wa siku...
16 Reactions
175 Replies
36K Views
Habari wakuu Kuna bongo fleva ya kitambo kidogo ilikua na maneno yasemayo Fanani siku nikifa njooni wote,mnaonipenda msionipenda njooni wote×2 Mwenye anaeweza kuwa na hiyo nyimbo aipandishe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sio mbaya tujikumbushe enzi zetu sisi wahenga, nikijalibu kuangalia miserebuko na mapigo ya siku hizi za kalibuni tofauti ni kubwa sana, enzi zetu binti ilikuwa akivaa moka za kiume hata...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mtunzi:Erick Shigongo Mawingu yalikuwa yametanda katika anga lote la jiji la Dar es Salaam, haikuwa kawaida kwani jiji hilo lilisifika kwa joto kali. Manyunyu ya mvua yalikuwa yakidondoka...
4 Reactions
26 Replies
9K Views
Back
Top Bottom