TNG Squad wamerudi

Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
971
1,077
Tng squad imerudi tena katika tasnia ya muziki Tanzania, kama una kumbu kumbu nzuri walifanya vizuri na ngoma kaa ring on it baada ya bongo.com kabla ya kundi kuvunjika kwa sababu mbalimbali, kama vile baadhi ya wasanii kuweka mbele maslahi binafsi kabla ya kundi.
Awamu hii kundi limerudi tena na tunaomba "sapoti" ya mawazo, pia kutembelea kazi zetu na kufanya review na kutupa mrejesho kupitia comments. Link ya video pale youtube.Shukrani
 
Wana kazi ya kufanya....maana sisi tuliokuwa mashabiki wao kew sasa tuko busy majarubani kulima mpunga.
 
Mbona chiwa man na black T sijui hapo siwaoni
King Chiwa na Black T, walijitoa Tng Squad kama unakumbuka.Wakaazisha TNG/TNGeez, baadae wakagombana,Chiwa akawa solo na projects zake.Wawili kati ya waliofanya Ring On It ndio wamerudi na member mpya Nas Wakitaa.Support kwao,nna kibarua pale
 
Oh
Wanarudi wakati huo mashabiki wao tumestaafu ushabiki wa bongo flava!
hahah haya mkuu, but kama bado unasikiliza secular music japo mara moja moja wape support vijana wako
 
Wana kazi ya kufanya....maana sisi tuliokuwa mashabiki wao kew sasa tuko busy majarubani kulima mpunga.
ni kweli, fanbase yao imekuwa stagnant au imemezwa na ujio wa wasanii machachari wa sasa, na mabadiliko ya biashara ya muziki, atleast unaweza kutoa suggestion kipi kifanyike, labda itungwe hata ngoma ya kuhamasisha kilimo
 
Nimejaribu kuangalia kidoooogo hiki kiwimbo naona kama kelele na matumizi mabaya ya rasilimali data.
 
Shukrani kwa opinion, itafaa zaidi kama ukitueleza mapungufu ili yafanyiwe kazi, vijana wako humble sio wachungu wakikosolewa,thats why mi nawakubali kama ndugu na marafiki hawa jamaa,tupe mkuu hata kama chungu vipi tutapokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom