GreatMkubwa
Member
- Jun 25, 2012
- 99
- 57
Habari za leo wanajamvi.
Tukumbushane Zilipendwa kidogo wakuu...
Naomba kama kuna mwenye kuweza kunip link ya kupata nyimbo za zamani.
Zile bendi za zamani zile, kwanza kabisa nahitaji ule wimbo jamaa aliimba nakumbuka mistari kadhaa ......
"..... pajero ya babaayangu Flora, nilipokuwa nikimtembeza
Manyara na Ngorongoro, Flora mamaaa
Manyara na Seroonera mamaa... "
kama kuna aliekumbuka jina la huu wimbo tafadhali anipe link au jina niusake...
Pia nahitaji ule wimbo wa Baba Jeni.... Jamaa likuwa analalama juu ya baba jeni... "... uliponipita kituo cha basi mimi na watoto.... na mvua inanyesha baba Jeniii eeehhh... utaua watoto baba Jenii eeeehhhh...."