Wale wapenzi wa riwaya za Kudo. Mliokuwa mnanunua kila mara na mara ya mwisho, mliahidiwa ofa na hamkupata..
Tafadhalini, nitext whatsapp 0658564341. Simu yangu iliibwa, hivyo nimepoteza...
Mtunzi: Washawasha
Mambo zenu,natumai muwazima wote,binafsi niko poa ila hapa nilipo ni joto la kufa mtu.
Leo nimeamua niwahadithie kidogo kipindi niko kigoli,ni stori ambayo nimekaa nayo kwa...
Wadau
Najiuliza ni mtangazaji gani aliyetafsiri filamu ya Yesu (Jesus Movie 1979) kwa lugha ya Kiswahili.
Wengine wanamtaja Salim Kikeke,wengine wanadai ni mtangazaji kutoka Kenya.
Mwenye uelewa...
Wachambuzi wa Soka Barani Ulaya wanasema hii comeback ambayo leo hii hawa vijana wa Lampard wameifanya toka 4-1 mpk 4-4 inaweza ikawa ndio comeback bora kabsa kuweza kutokea ktk kipindi hichi cha...
Wasalaam,
Movie hii inaitwa THE DARK KNIGHT. Ilitoka mwaka 2008. Movie hii ili-gross USD 1 BILION (TSH TRILIONI 2.3). Kwa kweli Ni moja ya movie yenye SCRIPT Kali Sana.
Hii Ni movie ya ACTION...
Nimeisikiliza hit mpya ya Diamond! Ni bonge la ngoma kwa club. Alichokosea ni kuwataja wanasiasa ambao leo au kesho wanaweza wakapotea kwenye ramani na tukawasahau kabisa
Ingekuwa vizurii...
Wakuu amani iwe pamoja nanyi!!
I hope wote tuwazima wa afya tele!!
Kama heading inavyojieleza hapo juu
Tanzania imejaariwa kuwa na media nyingi sana,na kuna baadhi ya media house zili-dominate...
Business as usual, but also data never lie!
Ni taarifa ya mkanganyiko na jamii imejigawa katika pande mbili kubwa. Moja likisema ana huo uwezo ila anatafuta tu public sympathy. La pili ni kundi...
Jina la Movie: SALT
Main Actress: Angelina Jolie
Evalyne Salt (Highly Trained) A Russian spy working as CIA. Akiwa na Mission (DAY X) ya kufake kumuua Rais wa russia atakapokuja kuhudhulia...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC na pia mchezaji wa Genk jana alifanikiwa kuifungia bao pekee la timu yake dhidi ya liverpool ya akina salah, mane van djik, firminho, clopp etc.
Mchezaji huyo...
NI Headlines za msanii kutoka Bongo Flevani, Juma Jux ambae kwasasa yuko nchini Kenya Nairobi kwaajili ya kuitambulisha album yake mpya.....habari kamili bonyeza link
=====
NI Headlines za...
GOBA DRC:
Hali ya hewa ilikuwa metulia,si ndege wa usiku au wadudu waliokuwa wakisikika,haijulikani kwanini kulikuwa na hali Kama hiyo usiku mnene namna ile ambao ni lazima kuzisikia sauti zao...
RIWAYA; DOA LA VIPEPEO
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660.
-----1-----
Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake...
RIWAYA; MTUMWA
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
RIWAYA ZILIZOTANGULIA..
• MPANGO WA CONGO
• KIKOSI CHA PILI
• URITHI WA GAIDI
• DAKIKA ZA MWISHO
• OPERESHENI KuKu
• OPERESHENI JICHO...
Mbwana Samatta aliyewahi kuichezea Simba aweka historia ambayo haijawekwa Afrika Mashariki na Kati. Aifunga Liverpool.
Liverpool ambayo kwa sasa ndio Club Bora Ulaya na Duniani. Yaani hata Club...
Jamani kuna zile nyimbo za kukaribisha sikukuu za Christimas na Mwaka mpya (Marry christimas and New year) yaani nazipenda sana na ukicheck mda wake ndo huu unaingia, mwaka upo ukingoni..
So...
Siku hizi mziki vijana kama hawafaidi kabisa. Tofauti na zamani miaka ya 2000's tunaenda disco, mnaburudika mwanzo, mwisho. Mnacheza kweli unarudi home umeburudika vya kutosha. Naangalia fiesta...
Hii Chelsea itakuja kuuwa watu jamani haya kipaji kingne hicho huyu dogo anaitwa Reece James sio yule James wa kule unyumbuni asiejuwa mpira huyu ni James mwenye kipaj chake ambae kazaliwa kucheza...