Wadau mambo Vipi?
Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf).
Leo...
Ukiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K
Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri...
Naomba kujuzwa ghalama ya chumba cha kupanga 'self contained room'.
Kodi ya Frem ya biashara mtaa wenye mzunguko wa fedha.
Nataka nihamie huko ko nategemea ushirikiano wa mnaojua hayo maombi...
Hallo,
How is everyone in here?
I hope mko poa ndugu zangu watanzania.
Leo nafuraha sana, maana ndio kwa mara ya kwanza kushuhudia concert za wasanii wa ndani. I'm enjoying for sure!
Kama kuna...
Nikiangalia hizi show wanazotoa hapa Wasafi Tv kwenye Wasafi Festival nachoka kabisa. Wanachoweza wao ni kupiga makelele, kuwasumbua watu wanyanyue mikono juu na kuuza sura na makalio.
Kuna nyimbo nyingi mno miaka ya karibuni ambazo ni maarufu kupita kiasi ingawa hazikuwahi kupewa airtime na Clouds FM. Inashangaza mno.
Hivi wimbo unawezaje kuwa maarufu bila kusikika kwenye...
Nashangaa watu wana-diss kwamba fulani katoa wimbo mbaya and blah blah! Kwa upande wangu kama wimbo siupendi siyo kigezo kwamba ni mbaya, kila mtu ana mapenzi yake ndiyo maana binadamu...
XXL ni kipindi kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi, leo wameingia na msemo wao "Inaanza kitchen party, ikifuatiwa na harusi" mwenye kufahamu maana ya huo msemo naomba...
Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza
************************************
1. Katika Viumbe Vyote
2. Mmoja wa Wanasheria
3. Mtu Ajaribiwapo
4. Mtu Mkubwa Mmoja
5. Neno...
Wale wapenzi wa riwaya za Kudo. Mliokuwa mnanunua kila mara na mara ya mwisho, mliahidiwa ofa na hamkupata..
Tafadhalini, nitext whatsapp 0658564341. Simu yangu iliibwa, hivyo nimepoteza...
Mtunzi: Washawasha
Mambo zenu,natumai muwazima wote,binafsi niko poa ila hapa nilipo ni joto la kufa mtu.
Leo nimeamua niwahadithie kidogo kipindi niko kigoli,ni stori ambayo nimekaa nayo kwa...
Wadau
Najiuliza ni mtangazaji gani aliyetafsiri filamu ya Yesu (Jesus Movie 1979) kwa lugha ya Kiswahili.
Wengine wanamtaja Salim Kikeke,wengine wanadai ni mtangazaji kutoka Kenya.
Mwenye uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.