Mbunge Joseph Mbilinyi 'SUGU' akitoa Burudani ktk hafla ya Wabunge wa CHADEMA ya kumpongeza Halima Mdee baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge, Mdee alisimamishwa...
Huyu jamaa mbwembe zote hizi kumbe kakopy na kupest wimbo huo,ingia u tube andika jina la wimbo "soapy" wa Naira Manley ucheke, kwani mi nimecheka sana sikutegemea kuona Mondi kufanya hivyo.
Mtunzi; Washawasha
Mambo zenu,mi Niko poa kabisa,kwa jina naitwa Maria Rosa,mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi Dar es salaam,nina miaka 31,leo nitawahadithia zawadi ambayo Mume...
Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza...
Kiufupi nianze tu kwa kusema watu wengi sio waumini saaaana wa aina ya muziki anaoufanya msanii Lavalava. Kwa muda mrefu sasa style yake ya uimbaji imekuwa haiendani kabisa na aina ya muziki...
Kwa yeyote anaeweza kuniorodheshia nyimbo hizo za kingereza anaimba binti mmoja hivi sijui aitwa lliiwine.
Asee anaimbaga nyimbo zake zinasikilizwaga mara nyingi usiku mkiwa kwa kitandani...
Naongelea ngoma mpya ya msanii machachali wa bongo fleva Diamond Platnumz ...Baba lao
Binafsi naona hii ngoma sio nzuri kabisa nikiweka pembeni ushabiki
Sasa swali linakuja kwenu mnaoujia mziki...
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Kama mfuatiliaji wa muziki wa bongo kuna vitu tunakubaliana kuwa Kiba na Harnonize kwa nyakati tofauti wamenufaika sana na uwepo wa Dai.
Alikiba amekuwa mshindanishwa wa Diamond kwa muda mrefu...
MUZIKI ni biashara kubwa sana katika karne hii ya 21 ambapo tumeshuhudia vijana wadogo wakitajirika kwa namna ya ajabu. MUZIKI umefanikiwa kukamata nyanja mbali mbali za uchumi, kupitia biashara...
Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa.
Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au...
Hii ni thread maalum kwa wapenzi wa filamu za kiswahili hasa za kitanzania. hapa utapata nafasi ya kujua muvi gani ya kiswahili imeingia sokoni, muvi gani inafanya vizurri.
kila siku utapata...
Hii ni uzi maalum kwa wapenzi wa movie za ki-Nigeria. Utapata updates za movie kali zenye story nzuri, movie za kichawi, mapenzi ngumi nk. ungana na sisi kwa burudani kali kila siku.
1. Thriller - Michael Jackson (MJ)
2. Year of the Gentleman - Ne -Yo
3. Blue print 3 - Jay Z
4. Uwe Macho - Rose Mhando
5 Bad - Michael Jackson (MJ)
Je ni album zipi 5 ambazo unaamini ni kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.