Nipende Kwa kusema Tu , kuwa huyu kijana ana kipaji cha pekee hasa kwenye utunzi wa nyimbo za kubembeleza ,... Katika series ya nyimbo alizotoa hvi karbuni , huu wimbo wa naogopa nimeuelewa, bonge...
Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana.
Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu...
Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji.
Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu.
Tatizo linakuwa wapi?
BADO NAKUPENDA SANA :04
alishawahi kufanywa mjinga sana na kijana aliyekutana naye kabla ya Hansy, alisema "kabla sijaingia rasmi katika mahusiano na Hansy, nilikuwa na mpenzi niliyehisi...
BADO NAKUPENDA SANA :03
unahitaji nini leo, maana mzigo mpya huo" Ney alijitahidi kujiongelesha lakini binti yule alimsogelea Ney nakumwambia "Pole sana dada Ney, unaonekana una maumivu sana...
BADO NAKUPENDA SANA:02
kinachonifurahisha zaidi, nimejitahidi kufuta namba yako katika simu yangu wakati inaishi kichwani na ndani ya moyo wangu, kiasi kwamba hata nikikurupushwa usiku naitaja...
SEHEMU YA MWISHO YA SEASON HII YA KWANZA
. Kwakua mimi nilikua najua jinsi waislamu wanavyozika, wao niliwazika kwa kutanguliza na dua. Booker na Philipo niliwazika na kuwaombea walazwe...
Mwangaluka!
Ningependa kujua yale mashindano kipindi flani yalifanywa na Kituo cha EATV kupitia kipindi chao cha Uswazi nadhani host akiwa bado ni Musa Hussein hivi bado yanaendelea!?
Yalikuwa...
Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na...
Tanzania yapata Mwanamuziki Mpya.
Hayo yametokea hivi karibuni baada ya Mwanamziki huyo Paw Sixs wa miondoko ya Pop kuachilia kibao chake cha "Ooh"
Sasa unaweza kusikiliza kibao chake
Wadau,habari za mida hii.
Kama heading inavyosomeka, mwenye kuifahamu application ya kupakua nyimbo yoyote kwenye simu anijuze.
Mwanzoni nilikua natumia maas4tube kupakua nyimbo yoyote,kwa Sasa...
Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm
Asanteni.
Amani iwe nanyi.
Huyu mwamba kutoka Umakondeni kaachia ngoma mpya kwa jina la Kushoto Kulia.
Lakini baada ya ngoma hiyo kuisikiliza, nimesikitika kidogo. Ni ngoma nyepesi sana aisee.
Ni bora tu...
SEHEMU YA TATU
THE GIRLS IN ISLAND 03
Kwakua alitambua kuwa malikia huyo hutumia muda mwingi katika hilo tendo. Walipoingia tu uwanjani, aliyatumia masaa matatu kumchezea malikia huyo...