3 Idiots ya Aamir Khan

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,950
6,062
Aisee mambo niaje wakuu?

Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa.

Movie ilitoka 2009. Binafsi niliiona mwaka 2011 nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale UDSM hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana.

Movie iliisha sikuelewa kivile. Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama;

  1. Taare zameen Par - Aamir Khan; Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
  2. My name is Khan- Shahruh Khan
  3. Aatia
  4. Koyla/Coyla
  5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,

Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus "This is symbol of excellence "
 
Inaonesha kuwa India kila mzazi anataka mwanaye aidha awe daktari au engineer.

Na kila mhindi aliyefanikiwa anatamani kuhamia Marekani.

Kufanikiwa siyo lazima ufanye vizuri sana darasani. La msingi ni kuweka nadhiri ya dhati na kupambana mwanzo mwisho.

Kila mbabe ana mbabe wake e.g Prof alichofanyiwa na Raju.
 
Alvajumaa,
Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
 
movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
 
Hahahhaha, hii haina ngumi kaka

Yeeah ni nzuri hasa ujumbe wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom