herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,298
- 3,985
Nkiwa kama moja ya wapenzi wakubwa wa kipindi cha XXL ya Clouds nlimsikia B Dozen akisema Nandy ni msanii aliyeongoza album yake ya the African Princess kuwa streamed Boomplay, kitu ambacho ni uongo.
Najua isingekuwa rahisi kumtaja Diamond as number one, ila siyo adanganye umma wa Watanzania, hasa ambao hawafuatilii mitandao ya kijamii.
Najua isingekuwa rahisi kumtaja Diamond as number one, ila siyo adanganye umma wa Watanzania, hasa ambao hawafuatilii mitandao ya kijamii.