Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.
Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji...
KIGODORO-01
Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku
nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati Sana maana...
Habari zenu ndugu zangu, nimetokea kupenda song moja la msanii wa kike hapa Tanzania ila most of the time ukiwa unapigwa redioni hua naambulia maneno machache sana, ambae anaweza kuufahamu si...
"Huwezi kugawa chakula ardhi ni nyeu...ya kijani hivi.Hakuna chakula cha serikali kwani serikali haina shamba!Sileti chakula.Kuna ambao tetemeko lilibomoa nyumba zao kdg wakadanganywa serikali...
CAMERON Diaz has revealed she’s welcomed her first child with Benji Madden.
The 47-year-old actress announced on Instagram that she and her husband added daughter Raddix to the family at the...
Short and Clear, mwishoni mwa mwaka jana ziliibuka habari za penseli kati ya Diamond na Alikiba.
Ilianzia kwa Diamond kumuomba Alikiba ashiriki Wasafi festival na Alikiba akakataa akidai Diamond...
Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute
Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915...
Naomba kuwe na knock out kwenye Football. kwa mfano leo game yetu pendwa ya simba na yanga naona yanga anenda kupigwa 3:O kipindi cha kwanza. Me nashauri TFF atakae pigwa 3:0 kipindi cha kwanza...
Najua humu kuna kila aina ya member
Wale movies addict tusaidie kidogo. Hii movies inaitea "Bad Starters(1976)" niliiweka kwenye watch list kutoka 2013 ila sijaipata.
Mwenye nayo please anisaidie...
Sehem:02
Haikua kitu rahisi kwa mama yake Gaby kukubal kua mtoto wake ndo amekua mlemavu wa kudumu.Maureen aliingia kwa daktar ili kujua nn kimetokea lakn daktar alimwambia kama alivyomjibu mama...
Sehem:03
Haikua taarfa nzur kwa gaby kusikia kua hatoweza kutembea tena alihisi labda maisha yake ndo yameishia pale.Mama yake alimpa moyo kua pale sio mwisho wa maisha na mungu yupo ana imani ipo...
Umofia kwenu.
Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni msaada wa kuujua huu wimbo. Kwa maana nimetafuta jina lake kwa muda mrefu bila mafanikio. Nayakumbuka baadhi tu ya mashahiri. Haya...
Mtoto anayeonekana kwenye video ya wimbo wangu wa "usiunyanyapae moyo wangu" sio mtoto wangu ni mtoto wa prodyuza moses, shahidi yangu q-chillah.
Siku nilipokuwa na fanya video ya wimbo wangu pia...
Ukiendekeza ndugu utavuna magugu... Utakufa kibudu na MUNGU autamuabudu utamkataa wajoto utamkana wa baridi atabakia wauvugu vugu naye pia ataleta gubu...
SASA HIVI MWENDO WAKUVALIANA MIWANI TU...
Huu ni ushauri wa bure tu kwa wachezaji wa yanga watakapocheza na simba kesho. Najua kabisa yanga wataingia kwa kuwachezea sana rafu wachezajia wa simba ili wawaogopeshe. Sasa hii itawagharimu...
Nimeanza kuifuatilia kama mwezi mmoja hivi, baada ya wadau flani hapa kunishauri kiutani
Nimecheki kuna kisa flani hivi ambacho ni "Game of Thrones" inachezwa kule ndani.
Kwa ambao hawaijui Game...