Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo But some of them have an interest, Bolingo 1.Nzele- Madilu 2.Bandeko- Madulu 3.Ton Ton -Madilu 4.Sydiegi-Madilu 5.Associe - Fally Pupa...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Mimi ni mpenzi sana wa movie, hasa za action na animation, siku za hivi karibuni nimejikuta nikipenda kuangalia makosa yanayofanywa na kuachwa bila kuondolewa wakati wa kufanya editing, sasa sijui...
1 Reactions
1 Replies
972 Views
Heshima yenu wakuu. Katika pilika pilika na huu ugumu wa maisha nimejikuta nauimba huu wimbo baadhi tu ya maneno. ......HATA UKULA UGALI NA CHUMVI Ooooh! SHUKURU MUNGU AMINATA USIFE...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hii ni kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram. MY TAKE: Huyu jamaa kwa sasa hivi wamuache asifananishwe na mtu mwingine kabisa. Pia, Watanzania tuungane kumpa support ya kutosha maana...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Washakji wametoa nyimbo mpya wana ladha ya miaka ya tisini ile ile yaani hamna kitu hapa kwakweli game imebadirika endeleeni kulea familia zenu tu huko mziki wapisheni kidogo vijana wafanye Sio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefanya mziki kwa muda sasa na niko vizuri lakini kila nikijitahidi kutoboa mambo yakuwa magumu , nimejaribu kwenda kwa waganga mbalimbali lakini hali imezidi kua ngumu masharti ni magumu sana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
...As all around, the normal hustle and bustle of the Norfolk house was stilled while staff busied themselves far from where this extraordinary Royal Family drama was set to play out: the Queen's...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Eddie Murphy Smiles In Photo As He Holds Six-Month-Old Granddaughter Evie Miles Mitchell is Murphy’s 27-year-old son born in 1992 with his ex-wife Nicole Murphy and is one of 10 siblings...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aaah unaposkia neno ndoa(Ndoa), ujue noma Kabla kuongea chochote naomba kwanza kusonya(Msschew...) Sijali nishauri nani aisee ok twende Aliyenifundisha mapenzi Hakuniambia kuhusu kuoa...
10 Reactions
103 Replies
21K Views
Habari wakuu!! Ni movie ya kitambo mno, na hata jina silikumbuki. Ni ya vijana fulani ambao wazee wao walikuwa wanajeshi, ikatokea mission wazee wote wakatekwa. Serikali ya nchi yao ikawa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nifanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app kunywa
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Salaam. Moja kwa moja kwenye mada:- ... Pale mziki unapokukolea kisawasawa na kujisikia furaha ama huzuni iliyopitiliza... Unafurahia bila kushurutishwa... Unahuzunika bila kulazimishwa...
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Kwa wazee tunaokubali movies au series za wazee wa ngwasuma ma vampire tukutane apa tupeane update kwangu mm movies bora nilizo ziona ni Underworld Underworld rise of lycan Underworld awaken...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Mwokozi umeokoa………………… 1 Twamsifu Mungu………………… 2 Hata ndimi elfu………………… 3 Jina la Yesu, salamu!………………… 4 Jina lake Yesu tamu………………… 5 Baba, Mwana, Roho………………… 6 Ni tabibu wa karibu………………… 7 Taji...
7 Reactions
22 Replies
79K Views
Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Triggering the brouhaha in the House of Windsor was the shock announcement by Prince Harry and Meghan Markle on Wednesday that they’re kicking their royal duties to the curb. And moving to North...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Huyu dada namuelewa sana nimeanza kumfuatilia zaidi toka niko Primary. So nahitaji album yake at least moja. Kwahiyo kuna uwezekano wa kudowload album husika na kupata nyimbo zake zote (Audio)...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wax figures of the Duke and Duchess of Sussex have been moved from other members of the Royal Family at Madame Tussauds in London. Prince Harry and Meghan had been placed next to the Queen and...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom