The Story Book ya Wasafi FM

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,224
2,000
Wanaajiri watu wanaoweza kusimulia vizuri ila elimu duni na anapotosha mambo mengi tu
Pia kuna mambo ambayo ni conspiracy theories ila wao wanayaeleza kama ni fact vile, mfano wazungu walitengeneza Ukimwi, Tupac yupo hai, Osama yupo hai, na nyingine nyingi za kuokoteza tu mtandaoni halafu wanazieleza kama ni kweli vile.
 

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
7,610
2,000
Katika zoooote niliyotokea kuipenda ni ile ya kuelezea historia ya mateso ya watu wa Madiba.
Isikilize utakuja kunishukuru sikiliza ile ya kwanza kabisa anaanza kwa Kengere za Kanisani na Adhana za Miskitini
.
Shootout to Mtiga
 

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
2,793
2,000
Kongole kwake Abdallah Mtiga,uncle anajua na kipaji kile namuona level za mbali, Sauti,mpangilio wa maneno huwa ananifanya safari yangu nisione uchovu, big up kwake pamoja na Pepsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
214
250
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni EquatorStory
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom