Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown...
Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz...
Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal...
1. Michael Jackson- Billie Jean
2. Neyo- When you're mad
3. Bruno Mars ft Damian Marley- Liquor Store Blue
4. Justin Timberlake- Mirrors
5. Kendrick Lamar ft SZA- All the Stars
6. Papa...
1. Corona ya Rayvany
2. Corona ya beka flavour
3. Corona ya Lava Lava
4. Corona ya Dogo Silla
5. Corona ya Mzee wa Bwax
6...
7....
8....
Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema...
"Son, I've made a life
Out of readin' people's faces
Knowin' what the cards were
By the way they held their eyes
So if you don't mind me sayin'
I can see you're out of aces
For a taste of your...
Mbosso anaendelea kumkimbiza msanii Harmonize huko YouTube.
Mmakonde naona anaprove kwamba nje ya Wasafi yeye bado ni msanii wa kawaida tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIWAYA: CODE X 3:
THE REAL ME 1
MTUNZI: Tariq Haji
SEHEMU YA 1
"Niko wapi, niko mbinguni au" aliongea Alex baada kufumbua macho kutoka katka usingizi wa kifo, "tulia kijana, utafikaje mbinguni...
MWANZO
Naitwa Ibrahim Amour. Ni mwenyeji wa Morogoro. Nilisoma morogoro hadi kidato cha sita. Nikafanikiwa kuingia chuo kikuu cha Mlimani jijini Dar es Salaam.
Nilipohitimu elimu ya chuo kikuu na...
Hawa wakali wawili kutoka Nigeria muziki wao unasound tofauti kidogo ila bado nawaweka kwenye aina ya muziki inayoendana, wote wana hits kibao. Je yupi ngoma zake zinakukonga zaidi?
****BURNA...
Nipo ndani ya pango, nakungoja mwenye Upendo,
Unipe Nuru, unitoe humu ndani...
Sina maelezo, nimeishiwa uwezo, nakuomba uliye juu unitoe mi gizani...
Nikiwaza Je, itakuwaje maisha yangu ? nachoka...
Angelina Jolie has given a wealth of interviews during her Maleficent: Mistress of Evil press tour where she has discussed motherhood, her kids, and her broadening sense of identity now that...
Badala ya Kujenga mlibomoa HAMJAFANIKIWA!
Mmewabania sana Wazaramo toka enzi ya mnanda hadi sasa ni Singeli.
Hadi RPC aliwahi piga marufuku ngoma zetu, haya sasa ALICIA KEYS Katukubali.
KIMBIA...
π΅π€π€π€π»πΌπ§π€π€π€π€π΅
Naanza kuwaza/Ujinga wa hawa
mafaza.πΆ
Sisi ni wa afya bora/wao wa isiyo imara
Tupo mbali sana/wao nyuma kinoma
Tutatoa misaada/ikitokea kwao maafaπΌπ΅
Wako gizani/nuru hawana...
Kuna makundi na wasanii wengi wa Bongo fleva walitamba Kama kina Solo thang, O ten, mad ice, zay B, sister P, TMK, bushoke nk.
Tukutane Hapa kujadili, kujiliwaza na kukumbushana historia mbali...
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni...