Saidi fella ni mfanyabiashara Katika tasnia ya Muziki na mafanikio ya hii band kwa asilimia zote yeye ndio kayawezesha. Kwa hili nampa Hongera sana
Kilichonifanya niandike huu uzi ni Tukio...
Dah mzigo nimeusubiri kwa hamu sana huu na umenikosha,'
Binafsi Profesa kaniacha hoi kwa ile mbinu waliyotumia kumuokoa mke wake na kumpeleka benki kuu
SEHEMU YA 1
Nilikamatwa na maaskari majira ya saa sita mchana kwenye mgahawa wa ENO. Nilikuwa nakula mayai huku nikinywa kahawa. Unaweza kuita kifungua kinywa kilichochelewa, kwa sababu...
How can u say Professor of money heist is smarter than Michael Scofield of prison break. Scofield survived through betrayals, setups, toughest prisons and smart detective like Alex Mahone...
Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo...
Aman iwe nanyi
Yule roma mkakoliki ambaye amekimbilia kwa mabeberu leo bhana kaachia ngoma kali sana ya kusifu na kuabudu
Ngoma ni kali sana aisee
Producer bin Laden kapiga bonge la beat...
Naona tuzo za Oscar zinatolewa kesho na hizi movie zote zinashindania tuzo ya best animated feature.. kwa naoni yako ipi kali?
naona Zootopia imeshinda.
Hii imedhiirika baada ya wasanii kadhaa kujitoa WCB mashabiki waliokua wanawatukuza na kuwapaisha kua ni wasanii wakali na watunzi wazuri wa mashairi, mashabiki hao hao ndo wanaongoza kwa...
Kwanza kabisa hiyo a.k.a ya Kardinali mimi ndio nimempa huyu jamaa kwa sababu ana Pengo.
Back to my point. One the Incredible has stuck in the 90s. He thinks 2019 is 1994.
Yani up to this era...
Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana.
Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa...
Hivi ingetokea janga hili la Coroca ndo limetokea wakat Kuna BBA.... na South wana Lockdown inamaana wale waliomo ndani si ndo ingekuwa mazima mpaka hali ikae sawa... nafikiri shindano...
Habari za jioni wapenzi wote wa burudani na wana jf kwa ujumla..
Nitaenda moja kwa moja kwenye mada kama heading inavo state
Toka mwaka uanze wasanii mbalimbali hapa nchini wametoa nyimbo...
Habari za muda huu? Matumaini yangu ni kwamba mko na afya njema. Kwa waliopata maswaibu Mungu awape nguvu, hata hayo pia yanapita.
Straight to the point, leo ninamzungumzia mwanamziki mashuhuri...
Media Imecopy karibu vipindi vyote vya watangulizi wao mpaka maudhui ya vipindi. Jamaa wameiga mpaka Ndondo Cup. Hata matamasha wanafanya kwa mtindo uleule wa watangulizi wao hawana ubunifu...
Wakati kukiwa na ushindani mkali kati ya marvel cinematic universe na dc comics kwenye soko la filamu za superheroes hizi ndio movie zangu bora hadi sasa hivi ambazo nimeshaangalia
1.The Dark...
Naomba nieleweshwe vizuri maana sielewi, hivi Fawler aliyekuwa mchezaji wa Liverpool aliitwa Mungu wa Magoli ilikuaje na alicheza mwaka gani? Kwanini walimpa jina hilo na alikua anacheza nafasi...
Takribani miaka 10 na zaidi kijana huyu amekua akikonga nyoyo za mashabiki na amegoma kabisa kushuka.
Huyu kijana ana akili sana maana anatumia trick nying sana na figisu za kutosha ili abaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.