DJ star TV saa 4 hii uko motooo!

DJ star TV saa 4 hii uko motooo!

Sina namba yenu ningewapigia kuwapongeza.

Siku hizi nyimbo nyingi zinazopigwa hasa vituo vingine pendwa zina maudhui ya matusi ya wazi wazi kabisa...akili haijatumika ni uhuni mtupu tu.

Sijui kwa nini hawa vijana wa zamani watanzania hatukuwa support vilivyo,maana kusema kweli wako vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom