Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,292
- 1,483
Nipo ndani ya pango, nakungoja mwenye Upendo,
Unipe Nuru, unitoe humu ndani...
Sina maelezo, nimeishiwa uwezo, nakuomba uliye juu unitoe mi gizani...
Nikiwaza Je, itakuwaje maisha yangu ? nachoka natamani hata kutoweka...
Nawaza nifanyaje mimi mbona ndoto zangu zinazimika...
Baba ni wewe, U Baba yangu
Baba ni wewe, we Mungu wangu
Baba ni wewe, Oh Mola Baba
Baba ni wewe,
Nangoja muujiza, Hivi ni lini nitakushukuru kwelikweli namimi...
Wengi niliowaliza, wako wapi waliosimama na mimi...
Nikiwaza Je, itakuwaje maisha yangu? nimechoka natamani kupumzika...
Nawaza nifanyaje mimi na ndoto zangu zinafutika...
Hakuna kama wewe Mola Baba,
Hakuna kama wewe Mola Baba,
Alpha na Omega yeee yeee
Alpha na Omega ye ye ye ye eeeh
Nna ne ne ne ne no
Baba ni wewe, Baba ye ye ye yeee
Baba ni wewe, Mola Baba Ba ba yeee
Baba ni wewe, Baba we ye ye yeee
Baba ni wewe, Mola Baba Ba ba yeee
Mola wewe, Mola we, Baba ye ye ye yeyeee
Mmo mmmo m... (Baba ni wewe)
Mola Baba ba ba ba ba yeeee...(Baba ni wewe)
Mola we ye ye ye ye yeee...(Baba ni wewe)
Baba ye ye ye... (Baba ni wewe)
Mola we ye ye... Molaaa Molaaa
Mmma mMola Ba baaa aaaa aaah yeee
Molaaa, Mola we ye ye yeiee yeee