Habari wapenzi wote wa Filamu za Kibongo

Nenda kamtafute kova,gwajima na pengo wanastudio mpya na hivi karibuni wameipua muvi mpyaaaaaa
 
mkuu ingia google. Search hayo makampuni utawapata tu.
hapa unaweza upata majibu mpaka ukajuta kupost mada.
 
Kampuni ambayo naamini zilikua serious hapa bongo kwa utengenezaji movie ni mbili tu,Game 1st quality tz limited ya mtitu game na Ile ya Musa banz sikumbuki inaitwaje
 
Kuna kipindi nilienda Zanzibar International Film Festival 2012 nikaona film ya Mkwawa.

Ile film naitafuta sana sijaipata.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom