jonasmkude
New Member
- Jul 17, 2019
- 2
- 4
Poleni na majukumu ndugu zangu. Ebu tuongee kidogo kati ya Drake na Kendrick Lamar nani zaidi kwenye Hip Hop. Napata taabu sana kujua nani zaidi?
Rapa Bora ninayemkubali mpaka sawa ni marehemu BIG L
Nimekupata mkuu BIG L noma sana Rest in PeaceA 9minute Freestyle of Big L and Jay-Z at Stretch and Babitto Show is the best ever freestyle in hiphop history!
Big L murdered Jay-Z left and right!
But Jay-Z wasnt slouch either!
Big L,rest in peace my nigga!
Kuna nyimbo moja kafanya na Fat Joe ebhana ehhh kamfanya vibaya Joe mpaka noma aseeeNimekupata mkuu BIG L noma sana Rest in Peace
Kuwa serious basi Drake anayetegemea ghost writer umfananishe na King Kunta!?.. Hivi unamchukulia poa KL?.Poleni na majukumu ndugu zangu. Ebu tuongee kidogo kati ya Drake na Kendrick Lamar nani zaidi kwenye Hip Hop. Napata taabu sana kujua nani zaidi?
Kuna nyimbo moja kafanya na Fat Joe ebhana ehhh kamfanya vibaya Joe mpaka noma aseee
Big L Rest in PeaceRapa Bora ninayemkubali mpaka sawa ni marehemu BIG L
Kwanini dreezy anafanya vyema kiuchumi pamoja na kutegemea ghost writers ?Kuwa serious basi Drake anayetegemea ghost writer umfananishe na King Kunta!?.. Hivi unamchukulia poa KL?.
NB: Me ni hard headfan wa Drake toka thank me later, ila sio wa kumfananisha na Kendrick kwenye booth labda kiuchumi!...
simple answer: BETTER MANAGEMENT!Kwanini dreezy anafanya vyema kiuchumi pamoja na kutegemea ghost writers ?
Yah hii ngoma ameprdce PRemo mwenyweHiyo pini inaitwa The Enemy....
Typical grimmy New York joint!
Sijui atakua ame-produce Dj Premier?
Beat moja ya hatari sana!