Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,351
- 13,102
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo