Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,
Je ni...
Lily omy Tusha mleta Chama lawana Mafundi wa Burudani Ndani Ya Nyumba
Sasa Bado Sammisago Kamati Ikamilike Tukiwashe
Wasafi Hatuna Show mbovu Tumekuja kutibu Homa Ya Burudani Usiwaze kaa...
I wish you all a very happy Valentine's day, and continue to maintain love among us as God has commanded us.
Twende moja kwa moja kwenye Topic
Jana kupitia page mbalimbali za social medias...
Kwa upande wangu nimeangalia filamu nyingi za kibongo, bahati mbaya nyingi sijaziweka kichwani. Ziko ambazo nimeona Mzimu unapisha magari, ziko ambazo Jambazi anavua viatu na kuvamia ndani 😁😁😁😁😁😁😁...
Kuna baadhi ya wasanii ukisikiliza yimbo zao utagundua hazina maadili ya kumjenga mtu. Wakati mwingine nadiriki kusema wakafanyiwe uchunguzi wa akili; sio wazima. Tunataka nyimbo zenye mafundisho...
Wale team Kik hapa mjini anzeni kukaa vikao ni Kiki gani itayosindikiza hili Dude, sijui mtatangaza kurudiana na Tanasha au Mtatangaza Harmonize kurudi WCB
Mtikisiko wa Harmonize kujitoa WASAFI haukuwa mdogo japo japo kila upande ulijitahidi ku play low
Kuna sababu haziwekwi wazi sana lakini kuna moja ambayo ndio inaweza kuwa chanzo.. Na hii ni pale...
For football and game of throne fans mambo yangelikuwa hivi endapo characters wa series bora ambayo haijawahi tokea na haiji tokea wangerikuwa wachezaji wa mpira wa miguu
Vip ni character yupi...
Naangalia hapa wasafi TV muda huu naona wana fanya kipindi kama vile vya East Africa tv.
Wame copy kipindi cha kali za kale cha Eatv kinachopiga au kuwaleta kina Dula na muunganiko wa East...
Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown...
Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz...
Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal...
1. Michael Jackson- Billie Jean
2. Neyo- When you're mad
3. Bruno Mars ft Damian Marley- Liquor Store Blue
4. Justin Timberlake- Mirrors
5. Kendrick Lamar ft SZA- All the Stars
6. Papa...
1. Corona ya Rayvany
2. Corona ya beka flavour
3. Corona ya Lava Lava
4. Corona ya Dogo Silla
5. Corona ya Mzee wa Bwax
6...
7....
8....
Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema...
"Son, I've made a life
Out of readin' people's faces
Knowin' what the cards were
By the way they held their eyes
So if you don't mind me sayin'
I can see you're out of aces
For a taste of your...
Mbosso anaendelea kumkimbiza msanii Harmonize huko YouTube.
Mmakonde naona anaprove kwamba nje ya Wasafi yeye bado ni msanii wa kawaida tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIWAYA: CODE X 3:
THE REAL ME 1
MTUNZI: Tariq Haji
SEHEMU YA 1
"Niko wapi, niko mbinguni au" aliongea Alex baada kufumbua macho kutoka katka usingizi wa kifo, "tulia kijana, utafikaje mbinguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.