Aliletwa kutoka sayari ya mbali akiwa kwenye mwili wa binadamu kwa nje,ila kwa ndani ni cyborg muuaji..katengenezwa na vyuma maalumu vinavyomuwezesha kufanya anachojisikia hapa duniani..
Lengo ni...
Kifo? Ndio, ipo app kwenye simu kwa ajili hiyo.
Ilianza kama utani, baada ya kujua kuna application inayotabiri binadamu umebakiza muda gani wa kuishi duniani. Marafiki wakaamua kuitumia kama...
.Ndio roho yake...kila kitu chake..furaha yake imelala kwenye mikono ya binti yake..hakuna anachopenda hapa duniani kuliko kumona mwanae akiwa anacheka...ni kama waliungana mwili,akaipa maana ile...
Ni ratiba yake ya kila siku..kupanda treni ya jamii,kutoka nyumbani kwenda kazini na kurudi ni hivo hivo,alishazoea,ndo maisha yake ndani ya miaka 10..
...Alishawajua kwa majina na sura abiria...
Haikuwa bahati mbaya...wala sio ajali kwao...ilitokea kama wamelala na ikatokea wameamka tofauti na walipolala..ni rahisi hivo tu..wakajikuta wapo kwenye chumba kimoja,chenye vyumba vingi..ni...
Mtunzi Juma Hiza
Sehemu ya 01
Niliamua kufunga pingu za maisha na Julieth kwasababu alikuwa ni mwanamke niliyempenda sana. Alikidhi kila aina ya vigezo ambavyo nilikuwa nikivihitaji kwa...
Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo.
Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri.
Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na...
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli
Wapo waliodhihaki
Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata.
1) Anasema wazazi...
Huyu Zuchu Mmepigwa Wazee Anaimba maadhi ya taarabu kwenye beat ya Bongo Fleva
Jamaa anaendelea kujaza Wasanii wa kawaida kwenye Label yake, Jamaa hatokuja kupata msanii bora kama harmonize...
Alikiba alishawai kusema yeye ndiye aliyetoa ruhusa Diamond kurekodi kwa Bob Junior katika studio za Sharobaro Record
Wakati Diamond anaomba nafasi kwenye studio za Sharobaro record kwa Bob...
Ameandika alfajiri ya leo kwamba ameamua kufanya hivyo bila ubaya wowote na kwa hiari yake.
Kuishi na kulea vijana kama hawa yataka moyo sana.
=============
Naitwa Rasheed almaarufu kama cheed...
Hivi ni kitu gani ambacho kinakwamisha Album za Tanzania kushindwa kufanya vizuri sokoni. kama zikifanikiwa kidogo sio WorldWide.
Juzi tu African Giant ya Burna Boy imefikisha Streams Million 200...
Leo nitakuwa natoa maana/ufafanuzi kwa mtu yoyote yule ambaye kwa sababu moja au nyingine hakuweza kuulewa baadhi ya mstari kwenye ngoma yoyote ile ya hiphop kwa hapa Bongo.
Usiporidhika nakupa...
Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri.
Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio .
Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje...
Hivi hii movie ishaonyeshwa Bongo? Maana naskia Movie theaher zote Tz zimefungwa! Mwe na ilivyo nzuri,
nani ameiona?
mahondaw Smart911 Bujibuji 50thebe lara 1
Wakuu hii covid 19 imetufanya tutulie majumba na ni muda mzuri wa kuenjoy movies na series
Naomba utaje movie yako moja tu unayodhani ni bora kabisa kuliko zote ulizoangalia
Halikadhalika taja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.