Wazee Wazima Mnakumbuka Enzi Hizi??

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
362
Naona weekend speacial nyingi zimekua ni muziki wa kizazi kipya, naomba watoto wadogo mtupe nafasi watu wazima nasi tujidai kidogo weekend hii tupate miziki ya batu bazima, na kanyimbo haka kanashuka sana na kitu bariiiiiidi, she is arguably one of the best african female artists ever- enjoy...

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=8uzmvgnH_Dk[/media]
 
Ahsante! lakini, duuh.... hiyo video editing yao ilikuwa kiboko... naona anaelea kwenye maji au mawimbi sijui...


SteveD.
 
Ahsante! lakini, duuh.... hiyo video editing yao ilikuwa kiboko... naona anaelea kwenye maji au mawimbi sijui...


SteveD.

Mimi namsubiri bubu aje aseme tu...
Maana Mbilia Bell anasababisha na sauti yake, miondoko yake taratibu hataki kumbe anataka..
Asante KanaKans.....
 
Mimi namsubiri bubu aje aseme tu...
Maana Mbilia Bell anasababisha na sauti yake, miondoko yake taratibu hataki kumbe anataka..
Asante KanaKans.....

Inakuwa shida sana kusikia sauti ya Mbilia huku umekaa chini. Damu huwa inachemka uanze kujimwaga mwaga na kufuata beats za huyu bibie. Sio tu ana sauti nzuri bali miondoko pia anaiweza...:) Uwaweke akina Beyonce na wenzie halafu umweke huyu bibie mie siku yeyote ile nitaenda kumuona Mbilia!

Kanakansungu Kansungu Mwelu...Ahsante sana. Itakuwa vizuri tukiwa na weekend special kipande hii, tunaiweka zile za "Wazee Wazima"
 
Back
Top Bottom