Leo nimewakumbuka waimbaji hawa

Leo nimewakumbuka waimbaji hawa

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
5,690
Reaction score
5,566
Leo katika pekua pekua kwenye kumbukumbu zangu, nikakutana na karatasi, nilikua nimeandika majina ya wanamuziki ambao nikua na kanda zao, (Tap) Nikaona ni share na member wenzangu hapa, nadhani nanyi itawakumbusha mziki wao. Leo nitaweka majina yao tu, muda mwingine nitaweka na baadhi ya nyimbo zao.
Leo naweka majina ya wanamuziki wa Majuu alafu, muda mwingine pia nitaweka Za Kitanzania, Kongo, South Africa, Hindi, na nchi mbali mbali za Africa bila kusahau Regger.

1. Michael Jackson
2. Michael Bolton
3. Celine Dion
4. Ton Braxton
5. Whitney Houston
6. Tina Turner
7. Madonna
8. Keyshia Cole
9. Jennifer Lopez
10. Jennifer Hudson
11. Mary J. Brige
12. Chris Brown
13. Brandy
14. Deborah Cox
15. Usher
16. Jordn Sparks
17. K-Ci & Jojo
18. R. Kell
19. Boyz II Men
20. Joe
21. Blackstreet
22. Monica
23. The Pussycat Dolls
24. Mariah Carey
25. Sean Paul
26. Missy Elliot
27. Ciara
28. Nelly
29. Shagg
30. Bow Wow
31. Akon
32. 50 Cent
33. Shania Twain
34. Lionel Richie

Kwa majina ya waimbaji hawa kwa leo niishie hapa, maana ni wako wengi mno, mengine mtayaweka membar's. kama nilivyoahidi wakati mwingine nitaweka jina la miimbaji na baadhi ya vibao vyake.

Lengo ni kukumbusha burudani za zamani tu, ili kurudisha kumbukumbu nyuma, Wakati huo kuna kipindi pale EATV, kilikua kinanza kati saa 4 ama saa 5 Usiku kilikua kinaitwa 5glovees, sina hakika kama nimeandika jina la kipindi kwa usahihi.
 
Michael Bolton -How Am I Supposed To Live Without You
-Missing You Now

George benson - Nothin Gonna Change My Love For You

hizi pini ni motooooooo

Wanangu wa A town inakuaje??
 
Back
Top Bottom