Watumiaji wa NETFLIX naomba msaada tafadhali

Watumiaji wa NETFLIX naomba msaada tafadhali

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
531
Reaction score
230
Wakuu heshima sana!
Tafadhali naomba msaada wa jinsi ya kufanya malipo kwenye netflix. Awali sikuwa na shida na nilitumia VISA card kujisajili kwa ajili ya malipo. Baada ya VISA card ku-expire nikapewa mastercard. Lakini nikitaka ku-update payment kwa kuingiza namba mpya za kadi yangu ya mastercard inatoa error message ya "There appears to be a problem with the payment method you are trying to use".

Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kusolve tatizo hili. Au Netflix mastercard haikubali isipokuwa VISA card?
 
Hivi ukishalipia Netflix bado tena inabidi uwe na hela ya Bando?
 
t.me/Netflixafrica

Pata premium account kwa dola 6 tu mwezi mzima

Tuongeze limau na tangawizi
 
Tengeneza card kwa M pesa ujaribu. Na card iwe na atleast dollar 1
 
Tengeneza card kwa M pesa ujaribu. Na card iwe na atleast dollar 1
Ukitaka kutengeneza lazima uwe na mbinu mbadala ndo kama hawa wanaouza izi za dola 6 sasa


Tujifukize kwa tangawizi na limau
 
Back
Top Bottom