Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakati dunia inapambana na hili gonjwa hatari la covid19, kwa mikakati mbalimbali huku vifo na maambukizi yakiongezeka upande mwingine wale wasanii wa action movies watakuwa kwenye mchakato wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za time hii wanabidi Naombeni kujuzwa zipi filam au series Kali za 1/kibongo 2/kifilipino 3/kihindi Mm sinaga time na hii mambo sema kuna demu namzimia kila time anataka nimtaftie muviie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando; 1. Slow 2. Sikupendi(mhh...
4 Reactions
76 Replies
8K Views
Mambo aje wadau, Leo nimezikumbuka sana hizi ngoma za muendelezo wa Terminator 2&3. Nimejikuta natamani kuzirudia. Ila kabla sijafanya hivyo, kuhusu suala la ukali wa movie hizo basi mie kura...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa wale Wapenzi Wa Hii Series kitu cha 4 kishatoka kama Hujapata Pita na Hio Link mzigo una Episode 8 Full HD English Language: Pia Subtitle ni English Mzigo uko hapa Link...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Binafsi sio mpenzi sana wa miziki ya kisasa ila nimezisoma sana miziki ya miaka ya 1930s mpaka 1980s na hata ya 1990s na navutiwa sana na aina hii ya miziki ikiwa kwenye ujumbe na burudani pia...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi, matumaini yangu muwazima na ni matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaenda vizuri, tujitahidi jamani. Straight to the point, leo nimetazama movie ya The BFG(mzee wa...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Habari JF! Poleni wadau na majukumu ,najua bado tupo kwenye mapambano na wengine kutokana na nature ya shughuli zetu masaa mengi tupo nyumbani kifupi tumepunguza kutembea kama hakuna mchongo wa...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Uzi huu ni maalum kwa wapenzi wa muziki wa rock; share chochote kinachohusu muziki wa rock tushirikishe au tujuze chochote kuhusiana na rock music. Karibuni. @military_Genius
0 Reactions
14 Replies
2K Views
IMEANDIKWA NA : ATUGANILE MWAKALILE ********************************* ********************************* *************** Simulizi : Sitasahau Tanga Sehemu Ya Kwanza (1) Nikiwa kwenye mishe zangu za...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Nakupenda hip hop - Roho Saba Darubini - Mfalme Suleiman / Afande Sele Chemsha Bongo - Profesa J Chagua Moja - Fid Q Nakwenda - Chindo Man Mtazamo - Sollo Thang Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Tuambie Kati ya hizo series ipi kwako ni Kali na sababu zipi kwako unaona moja yapo ni Kali zaidi nyingine?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nini Mawazo Yako Katika Hili. Tyrant
1 Reactions
26 Replies
3K Views
MTUNZI: FAKI A. FAKI SEHEMU YA KWANZA Fikiria kwamba uko chumbani na mke wa rafiki yako aliyeko safarini. Mwanamke anakwambia kwamba anakupenda. Anakulaghai kwa maneno mpaka unalainika. Unaamua...
10 Reactions
37 Replies
13K Views
Mtoto wa tajiri wa pili duniani,,n simulizi nzur,yenye visa mbalimbali vya mapenzi,mauaji,shida,mafanikio,na mambo mengi ndani yake ikimlenga mtoto wa tajiri mkubwa duniani... support yenu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye Album Hiyo tafadhali naomba unipatie nyimbo za album hiyo Mimi ninazo 1. Maria Saloma 2. Kaisiki 3.Alimwatusile pekee. Naomba mwenyei nyimbo zingine za Abum hii anisaidie.
1 Reactions
11 Replies
18K Views
TAHADHARI: NI KOSA LA JINAI KUUZA PASINA IDHINI YA MTUNZI. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimeona trailer ya hizi movie nafikiri Kwa sasa Movie za kibongo zitafaa kuangaliwa 1. Mstari wa damu trailer 2. Mzalendo 3. Jeshi la ukombozi 4. Chaguo series
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom