I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,726
- 10,016
Katika series nilizoangalia na kuinjoy hii inaingia katika list ikiongozwa na baba la series PRISON BREAK.
Kwenye character wa hii series niliyemkubali ni mtu mzima DENVER hasa lile cheko lake (ah ah ah ah) ni mtu mwelewa na mchangamfu.
Character niliyemchukia ni ARTURITO na GANDIA hizi mtu mbili daah walikuwa wananichefua balaa kutokana na ujuaji.
Nyongeza; character wa chukizo yule mmaza mwenye mimba.
...bella ciao...