Mwanga kwenye Kiza-Clouds TV

Mwanga kwenye Kiza-Clouds TV

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
6,818
Reaction score
9,193
Habari wadau,

Napenda kuwapongeza Clouds TV - State of Arts - Kwisa kwa kuanzisha kipindi chenye mikasa ya kutisha ambayo ni ya kweli iliyowatokea watu.

Episode ya kwanza ilikuwa jamaa(bodaboda) aliyetobolewa macho na mshikaji wake kwasababu zisizojulikana na Episode ya pili ni mkasa wa jamaa aliyenusulika kwenye ajali ya moto(Msamvu - kwenye lori la mafuta).

Aisee hicho kipindi sio cha kukosa kama una moyo mdogo unaweza ukashindwa kuvumilia na kuanza kuangua kilio maana ni mikasa ambayo inasikitisha ukiisikiliza.

Ni kila jumanne saa 3 usiku.
 
We ndo producer?

All in All kutakua na exageration flani, kwan hatukuwepo na ni one sided story, eg mwanamke aliyeachana na mmewe, obvious atanesema alikua ananipiga kila siku, bila kusema kwamba yeye alikua mvivu, mchafu etc.
 
Mkuu wewe angalia jumanne ijayo hautokosa kupata kitu kwenye kujifunza kwenye maisha!! Sio Producer wa kipindi ila mie ni moenzi sana wa vipindi vya mikasa vya kimaisha mfano ,njia panda(clouds),sintosahau(RFA) etc
 
Back
Top Bottom