Niaje wakuu
Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja.
Yaani King Kiba mpaka Wakenya...
Album imetoka Machi 20,2020 ina nyimbo 17 nadhani.Bonge la album jina ni After hours.Ukiangalia video zake za hii album kama kuna short movie flani.
Inasemekana imekuwa inspired na movie kama...
Ina maana mpaka leo hii ngoma bado ni no moja on YouTube trending asee.
Pamoja na kupondwa kote huku hii ngoma, kwamba ni mbaya ila bado inatamba kiasu hiki mpaka leo.
Najiuliza sasa wanaoifanya...
Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva..
..Kipaji...
Katika mabadiliko ya vipindi jana Clouds TV walikuwa wanakitambulisha kipindi kipya cha Wakongwe wa fani, na jana ilikuwa zamu ya Inspector Haroon na Juma Nature.
Kwa waliotazama jana naomba...
Leo nipo safarini basi nililopanda limefanya nifungue huu uzi. Kiukweli inafikia mahali safari inakua mbaya kutokana na hizi burudani zinazotolewa kwenye mabasi.
Yani miziki inayopigwa haina...
Mwaka huu kulikuua na muvi nyingi nzuri zinatarajiwa kutoka hasa miezi ya mwanzoni then shit happened..Corona.
Kwa wapenzi wa filamu tatakutana hapa kujuzana athari za Corona Viruses kwenye...
Ameishi akiwa muuza mwili familia ikamtenga. Alipopata mimba iliyotokana na kazi yake hiyo akaamua kuachana nayo na kutoka kabisa nje ya mji kulea mimba na mwanae ataezaliwa. Akabadilika kimaisha...
.
By Sangu Joseph
.
Mxieeeew! Ngoja nianze kwa kumsonya ndugu Mfalme japo nahofia sana Team Kiba kuja kunishambulia, kwa sababu tu ya kuandika mawazo yangu, Ila kiukweli Mfalme Alikiba ni moja ya...
Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo.
Shabiki wa Kiba hawajielewi.
Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja...
Ijumaa ya wiki hii Ali Kiba atakua ndani ya kipindi cha Homa kinachorushwa na TVE hiki ni kipindi kipya kabisa town na kinatoa fursa kwa watazamaji kushuhudia Msanii akiperform live na band pia...
FOR LIFE ni tamthilia ya kimarekani iliyotengenezwa na Hank Steinberg, Ilirushwa na kitua cha terevisheni cha ABC mnamo Februari 11, 2020.
Tamthilia hii inahusiana na kisa cha kweli cha bwana...
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino.
Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye...
Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.