Ujumbe kwa Wasafi Media

Ujumbe kwa Wasafi Media

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kazi nzuri na jitihada mnazozifanya kuhakikisha ulimwengu wa burudani unakua kwa kiwango cha 5G. Studio zenu kiukweli ni studio kali ambazo nilishawai kuziona hapa nchini (congrats).

Naomba nitoe ushauri wangu ambao unatokana na upeo wangu wa kuelewa mambo hasa ya kisanaa na burudani kwa ujumla.

Ushauri wenyewe ni huu hapa:

1. Mpunguze uchukuaji wa baadhi ya watangazaji hasa wale wa majina makubwa maana mwisho wa siku mnatumia fedha nyingi kuwalipa alafu ukizingatia media bado ni changa sana.

2. Muanzishe utaratibu wa kusaka vipaji vipya vya utangazaji maana mtaani wapo wengi sana wenye uwezo ila nafasi zao zinachukuliwa na hao mapapa mnaowatoa media zingine(japo sio mbaya ila pesa nyingi kuwalipa alafu tumeshawasikia sana huko walipokuwa).Napenda kuona vijana wapywa wanakulia wasafi mpaka kutengeneza majina yao na kuwa nao mapapa.

3. Ongezeni vipindi hasa vyenye ubunifu wa hali ya juu ili kuendelea kukua zaidi maana nimekuja kugundua bongo tunaigana vipindi mpk inabidi uzime radio au tv ulale tu maana content ni zile zile.Ikumbukwe kuwa ubunifu unasifa ya kuleta wadhamini wa kutosha na pato la media (company) iyo.

4. Tafuteni tamthilia nzuri ambayo itawavutia watazamaji maana moja mbinu kubwa ya kuwavutia watu kufuatilia wasafi tv.

5. Jitahidini sana sana kutofungamana na upande wowote kuweni neutral sio kwa maneno fanyeni ivyo kwa vitendo hii itawapandisha daraja mnalotaka kufika.

Hayo ndo nimeona niseme nao kwa leo sijui wanaJF mnayapi ya kusema.

N.B:No offense ni ushauri tu ili kukuza tasnia ya burudani nchini hasa kwenye dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema mkuu ila Wasafi media wasivimbe sana kichwa watambue nini watu wanataka. Na hii ishu ya matangazo mengi hadi kero waliangalie hili nalo

Sent using my radio call over!!
 
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kazi nzuri na jitihada mnazozifanya kuhakikisha ulimwengu wa burudani unakua kwa kiwango cha 5G. Studio zenu kiukweli ni studio kali ambazo nilishawai kuziona hapa nchini (congrats).

Naomba nitoe ushauri wangu ambao unatokana na upeo wangu wa kuelewa mambo hasa ya kisanaa na burudani kwa ujumla.

Ushauri wenyewe ni huu hapa:

1. Mpunguze uchukuaji wa baadhi ya watangazaji hasa wale wa majina makubwa maana mwisho wa siku mnatumia fedha nyingi kuwalipa alafu ukizingatia media bado ni changa sana.

2. Muanzishe utaratibu wa kusaka vipaji vipya vya utangazaji maana mtaani wapo wengi sana wenye uwezo ila nafasi zao zinachukuliwa na hao mapapa mnaowatoa media zingine(japo sio mbaya ila pesa nyingi kuwalipa alafu tumeshawasikia sana huko walipokuwa).Napenda kuona vijana wapywa wanakulia wasafi mpaka kutengeneza majina yao na kuwa nao mapapa.

3. Ongezeni vipindi hasa vyenye ubunifu wa hali ya juu ili kuendelea kukua zaidi maana nimekuja kugundua bongo tunaigana vipindi mpk inabidi uzime radio au tv ulale tu maana content ni zile zile.Ikumbukwe kuwa ubunifu unasifa ya kuleta wadhamini wa kutosha na pato la media (company) iyo.

4. Tafuteni tamthilia nzuri ambayo itawavutia watazamaji maana moja mbinu kubwa ya kuwavutia watu kufuatilia wasafi tv.

5. Jitahidini sana sana kutofungamana na upande wowote kuweni neutral sio kwa maneno fanyeni ivyo kwa vitendo hii itawapandisha daraja mnalotaka kufika.

Hayo ndo nimeona niseme nao kwa leo sijui wanaJF mnayapi ya kusema.

N.B:No offense ni ushauri tu ili kukuza tasnia ya burudani nchini hasa kwenye dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri Sana ila kuhusu tamthiliya Hilo mbona teyari wamelifanyia kazi Kuna tamthiliya moja wanataka kuizindua ya Mexico tangazo lake nimeona diamond amepost kupitia Instagram yake.
 
Back
Top Bottom