See Richa Pose...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,331
2,000
Miss World Pageant contestant Richa Maria Adhia of Tanzania poses for photos at Yalong Bay in Sanya, Thursday, Nov. 29, 2007

capt.96365a15134b4a578756c82bc6a4717e.china_miss_world_xaw104.jpg


capt.7a8c4e13530f42619d5efa18bf92573f.china_miss_world_xaw110.jpg

Miss World Pageant contestants from left, Nigeria's Munachi Gail Teresa Abii, Singapore's Roshni Kaur Soin, Puerto Rico's Jennifer Guevara Campos, Trinidad & Tobago's Valene Maharaj and Tanzania's Richa Maria Adhia pose for photos at Yalong Bay in Sanya, Thursday, Nov. 29, 2007

capt.f463200c73af4328ae996c708373dd66.china_miss_world_xaw101.jpg
Miss World Pageant contestants from left, Sri Lanka's Romanthi Maria Colombage, Nigeria's Munachi Gail Teresa Abii, Singapore's Roshni Kaur Soin, Puerto Rico's Jennifer Guevara Campos, Trinidad & Tobago's Valene Maharaj and Tanzania's Richa Maria Adhia poses for photos at Yalong Bay in Sanya, Thursday, Nov. 29, 2007
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Nabubujikwa na mate, hapa nilipo najihisi kusikia manukato waliyopaka na malashi ya shampoo walizo tumia kwenye nywele zao hao madada!!!! Toba....Uuuuuuwiiiiiiiiiiiiii


SteveD.
 

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,611
2,000
Hakuna cha crown hapo wala nini, kama mataji madogomadgo yamemshinda hilo taji la general atalipata wapi?

Eheeh...... acha nicheke miye!
 

Judy

Senior Member
Aug 13, 2007
191
0
Hakuna cha crown hapo wala nini, kama mataji madogomadgo yamemshinda hilo taji la general atalipata wapi?

Eheeh...... acha nicheke miye!

Cheka sana mtomto wa kiumeni, dunia ina mambo hiiiii
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,986
2,000
nilipinga sana hapo awali kuhusu asili yake ila kwa sasa sina cha kupinga na nimecorrect my dhambi ya ubaguzi

shinda dada shinda lete taji hilo....
 

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,504
2,000
Hata katika wanaofikiriwa hayumo.
Online Sportsbook BetUS.com has posted betting odds on who will be crowned Miss World 2007:

Miss Dominican Republic 15/2
Miss Jamaica 8/1
Miss Malaysia 10/1
Miss Puerto Rico 12/1
Miss USA 15/1
Miss Mexico 15/1
Miss Philippines 18/1
Miss Angola 18/1
Miss South Africa 18/1
Miss Venezuela 18/1
Miss Northern Ireland 18/1
Miss Spain 20/1
Miss Trinidad & Tobago 20/1
Miss Brazil 25/1
Miss China 25/1
Miss Latvia 25/1
Miss Norway 25/1
Miss Grenada 25/1
Miss Peru 25/1
Miss Thailand 25/1

Check BetUS.com for current lines on the Miss World Pageant 2007Tusubiri kipenga cha mwisho
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,622
2,000
Hako kahindi wala si kazuri..hivi mmmeangalia vizuri?!Hakawezi kuja na chochote toka huko....ni ushamba wetu tu kukachagua kutuwakilisha..sijui hiyo ng'e.. ng'e ya kiponjoro ndo ilituzengua au nini. Utafikiri Bongo iko Asia ukiona wameandika ati ni miss Tz! Hiyo dhambi ya usaliti mimi simo..ponjoro hakutakiwa kuwakilisha nchi..period! Niite mbaguzi kama wewe ni mwenye kasumba.
 

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,929
1,500
Hako kahindi wala si kazuri

..acha wivu,demu bomba halafu we unasema si mzuri!anyways,uzuri uko machoni mwa mtu,na wengine yetu si mazuri!

Hakawezi kuja na chochote toka huko

..ndio maana yakaitwa mashindano!si lazima ashinde!

Utafikiri Bongo iko Asia ukiona wameandika ati ni miss Tz!

..mbona bongo wadosi wanatesa kama kwao!manji,dewji,lalji,chavda,premji,adamjee....i can go on and on!tumemwona richa tu!tuache wivu usiojenga!

Hiyo dhambi ya usaliti mimi simo

..wasaliti wanafahamika!

ponjoro hakutakiwa kuwakilisha nchi..period! Niite mbaguzi kama wewe ni mwenye kasumba.

..kama wanaweza kuachwa wakatawala uchumi,hata urembo wakitawala sawa tu.....kwanini we are trying to make issues out of small things!big deals tunalala?
 

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
0
Mtanisamehe Si mwoni MIss TZ hapo naona wote WADHUNGU!

Hata mimi mtanisamehe hapo simuoni Miss Tanzania naona wote wazungu. Mimi sidhani kama huyu binti atatuletea mabadiliko kwenye suala zima la u-miss, atarudi na story kibao.

Nyinyi subirini tu mtaona, siku yenyewe sindio leo. 1.12.2007
Tunasubiri tumuone miss India-Tanzania atakuja na story ipi.
 

Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Jamani breaking news:
Mshindi wa Miss World ni

CHINA!

1st runner up Angola
2nd runner up Mexico

Remaining top 5
Trinidad and Tobago
Sweden

Top wengine:
Jamaica, Dominican Republic, Austria, Ghana, Venezuela, USA, Ecuador,HongKong, Malaysia, Grenada, Puerto Rico.

Tanzania hamna kitu hata award!
 

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
614
195
..acha wivu,demu bomba halafu we unasema si mzuri!anyways,uzuri uko machoni mwa mtu,na wengine yetu si mazuri!..ndio maana yakaitwa mashindano!si lazima ashinde!..mbona bongo wadosi wanatesa kama kwao!manji,dewji,lalji,chavda,premji,adamjee....i can go on and on!tumemwona richa tu!tuache wivu usiojenga!..wasaliti wanafahamika!..kama wanaweza kuachwa wakatawala uchumi,hata urembo wakitawala sawa tu.....kwanini we are trying to make issues out of small things!big deals tunalala?


You are joking right? You think she is beautiful?

I'm sorry she is not ugly but she certainly is not beautiful.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom