Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wapenzi wa Hiphop tulitegemea baada ya diss track ya P Mawenge na Unju angekuja na diss track ya kumjibu ila imekuwa tofauti, naona Unju kaachia track yenye maudhui mengine. Sina hakika kama hii...
4 Reactions
90 Replies
10K Views
Kama ulivyosoma kwenye head lakini hiyo movie isiwe na genre ya animation tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wana jamii forums naomba msaada wenu je nawezaje kupata subscribe&viewers wengi kwenye youtube
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
poleni na pilika pilika za hapa na pale,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa kwenye nyimbo hizo za KINYAMWEZI kutoka kwa muimbaji MWINAMILA kutoka tabora, nawasilisha Msaada it afadhali.
0 Reactions
3 Replies
16K Views
StarBoy Wizkid__Joro vs Davido__Risky Kama umewahi kusikiliza hizi mbili ipi kali zaidi kwa upande wako?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Kuna mtu ana nyimbo ya usione Soo ya mwaka 2004 ambayo Ina wakina stara Thomas, solo thang, banana zoro, na Mr paul
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia. Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi lazima utakuwa umewahi kuangalia filamu zilizotengenezwa na kuwapa wahusika wakuu nafasi ya kucheza kama watu wenye uwezo wa juu wa kufikiri Leo tuwaangalie...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu kwemaaa...leo naweletea top 5 ya mawe mazito yenye miendelezo yakibabee Kuna vyuma hatari sana vilivyopikwa vikapikika na miendelezo yote huwa inasubiriwa kwa hamu sana japo story huwa...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Hivi ni mimi mwenyewe ninayeona kwamba hii nyimbo ya Ladipoeyou know ft Simi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BARAKOA YA MARIOO Na, Robert Heriel Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu. Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams) 2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams) 3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams) 4️⃣...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Naona huu uko kama Mbaqanga wa Afrka ya Kusini; je hii ndiyo aina pekee ya Muziki huko Msumbiji?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi huyu jama ni Mwanahabari kitaluma au ni mshereheshaji tu katika sport extral
0 Reactions
11 Replies
3K Views
U.S Marine Ray Garrison anapoamua kwenda mapumzikoni baada ya kumaliza mission ya ukombozi jijini Mombasa. Watu wanaohitaji maelezo ya kijasusi kuhusu mission ile wanakatisha vacation yake na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
EATV: hawa jamaa hawajapata mtu wakuziba pengo la Sam Misago. Tbway anaogopa kuuliza baadhi ya maswali. Ubishoo mwingi sana. CLOUDS: Hawa jamaa wameona isiwe case wakaona wapige c&p kwa TVE...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipe list ya movie za action zenye story nzuri za kuvutia. Nafikiri mmenielewa maana Kuna wengine wana vichwa vigumu ya kuelewa mada.
0 Reactions
20 Replies
11K Views
The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…