Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

bomba la mbele-01 Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Huwa ninapenda kuangalia movie za kibongo. Ingawaje tunajitahidi kwenda na wakati, lakini naona kuna makosa kibao ya wazi tunayafanya ambayo yangeweza kuepukika. Editing Kosa kubwa la kwanza...
2 Reactions
97 Replies
41K Views
sijui nani kaimba lakini nakumbuka maneno machache sana! "ni safari ndefu inachukua miezi tisa, navuka milima na mabonde naelekea sayarini..na joto kali limetawala mwilini...". mwenye kuufahamu...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
..Ni John cale..capitol police officer..baba wa mtoto mmoja wa kike.. ..Alimuahidi binti yake kuwa angepata kazi kwenye ikulu ya marekani..kama special agent..mtu anaeangalia maisha ya raisi kwa...
10 Reactions
7 Replies
2K Views
Burudikeni na hii nyimbo. Isikilize hadi mwisho kuna kitu cha kujifunza hapo.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
..Alikuwa shahidi wa horrors of a brutal regime kwenye taifa la Turgistan..aliona asichopaswa kukiamini... ..Hakupenda mauaji ya kikatili waliyofanyiwa wasio na hatia kwenye nchi hiyo...ila...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Meli iliyobeba cesium..kemikali zenye sumu zinazoweza kutengeneza silaha za hatari na kuua mamia ya raia wasio na hatia.. ..Ilikuwa inahitajika kuwasili..na ilihitajika kuzuiwa isiwasili...
15 Reactions
15 Replies
3K Views
..Mkutano mkuu unaowahusisha wanasayansi wakubwa duniani..Dr. Martin Harris alipokea mwaliko..akafunga safari mpaka ujerumani..mkewe akiwa pembeni.. ..Ni ndani ya mji wa berlin kwa ajili ya...
12 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Night kali wakati naangalia pambano la mwakinyo aliingia msela moja wa sinza alipokoswa ngumi moja mwamba akasema jamani mi ni tamaa tyu sina uwezo wa kupambana naomba pambano...
2 Reactions
2 Replies
705 Views
Sijui nani kaimba huu wimbo natamani kujua jina lake maana sio kwa nondo hizi
4 Reactions
16 Replies
2K Views
..Ni Henry Brogan..Former marine Scout Sniper..Binadam aliezawadiwa shabaha ya umbali mrefu karne ya 21...anaefanya kazi kama assassin kwenye usimamizi wa D.I.A.. ...Defense Intelligence Agency...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
..Aliujua ubora wake kwenye uandishi..akatengeneza mashabiki wanaopenda kalamu yake..visa vya kutisha ndo vilimuhusudu sana..na ye akalijua hilo..akaliishi.. ..Mtindo wake wa uandishi ni wa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
...Alipenda kutimiza ahadi..alijiapia mbele ya marehemu mkewe..kuwa angeacha kila kitu nyuma na kuanza maisha upya.. ..kama mfanyakazi wa kiwanda cha Home Mart hardware store..angeishi kama raia...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
..Walijua wamefanya kosa..wakajua kuwa wanatakiwa kulisawazisha kabla ya alfajiri..wakasawazisha kosa la kwanza..kwa kufanya kosa la pili.. ..Waliihitaji risasi kutoka kwenye mwili wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtu anayejua muziki vizuri, akiangalia kesi kadhaa amazo zimetokea huko Youtube kwa madai ya kuibiwa biti, akaweza kukubaliana nami kuwa kesi hizo zote ni frivolous na zinatakiwa kuwa...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
SAA mbili kasorobo, Mustafa baada ya kufika ofisini, kabla ya kuanza kazi haja ilimshika na kuelekea msalani. Baada ya kumaliza kujisaidia alikwenda kwenye sinki la kusafishia mikono ili...
66 Reactions
546 Replies
687K Views
Hii ni trailer ya nothing else ya movie toka timamu, imenivutia natamani nione hii movie huenda wamefanya kitu kikubwa
1 Reactions
12 Replies
2K Views
This is made in green city, the beginning and the end. Mbeya, where talent was born! Tanzania knows! Made in Green City talks about variety of things like poverty, war against ignorance and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu jamaa akitamba na nyimbo nyingi kali sijui kapotelea wapi? Nyimbo ninazozikumbuka ni 1. Bongo la Biashara akiwa na Mejja (Okonkwo) 2. Bidii Yangu 3. Kwaheri akiwa na Sanaipei Tande Yupo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom