Refresh (Wasafi TV), Za Leo (TVE)

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Habari za muda huu wakuu..I hope mko poa..

TVE wana kipindi kinaitwa "Za Leo", hiki kipindi ukikiingalia Content yake au entire Idea inafanana na ile ya Kipindi cha Refresh kinachorukaga Wasafi TV

Swali langu hivi ni kwanini vipindi vingi vya redio na TV Bongo vinafanana sana Ideas, yaani tunaigana sana hadi inaboa, tofauti ni Watangazaji sasa, Je ndio tuseme creativity imeisha miongoni mwetu au niaje ni vipi??

Ila 'Za Leo' ya TVE iko moto kinyama,ukiicheki unaelewa na imetulia sana...
Ila 'Refresh' ya Wasafi zamani ilikua yechu lakini Siku hizi kila siku ni habari za Juma Lokole sijui nini nini uko na mauduanzi shazi...

@NgarenaroBoy
 
ENewz ndio waanzilishi mtangazaji alikuwa Dominic Nyalifa.

Hao wengine wamefuata.
 
Siku hz kila redio inakipind kinachofanana na "Leo tena" cha clouds,tena kwa muda ule ule wa SAA 3 asubuh mpaka SAA 7 huu ni ushenzi,bora jembe wao huwa Kuna mzee mwenyew ana likipind lake linaitwa "kazi na ngoma"
 
Back
Top Bottom