Idriss Sultan akikaza atakuwa kinara wa Bongo Movie

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,800
12,612
Wakuu habari za mihangaiko.

Bila kupoteza muda huyu jamaa naona sasa amekua sana kiakili na anafikiria zaidi maisha naona hataki tena kurudia makosa baada ya kupoteza 600M.

Hizi ni kazi zake za hivi karibuni kwa kweli amewafunika wakongwe wote kwa sasa na hachoshi kumtazama pongezi kwake.Aongeze bidii ili afanye zaidi ya hapa.

Hizi hapa ni kazi zake za sasa unaweza angalia ukipenda.















 
Hio Danga ndio ya ukweli sana, inasisimua japo bado ina errors kiasi. Imetumika akili kupangilia visa.
 
Bado napata ukakasi na movie za bongo, sijui zimefikia wapi.
Bongo niangalie comedy tu
 
Jamaa ni kurupu kurupu kila mwezi anaanzisha 'series' mpya, nyingi ni uchwara tu na zinaishia njiani.... unfinished uchwara episodes!

Bado anajitafuta.
 
Back
Top Bottom