Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,592
Wakuu hii nyimbo nitaipata vipi ? "Najua nafsi yako inatamani sana inasubiri ahadi yetu kuwa bibi na bwana,siku zinavyozidi kwenda dhiki inazidi tuandama na lengo letu linazidi kushindikana...."
"vumilia ndio hali ya dunia ipo siku ndoto yetu itatimia,ingawa nyota yetu imefifia lakin mola ataiangaxia"
"maisha ya dhiki ndio yanayoniweka matatani pale unaponiuliza kuwa nitakuoa lini,nakosa cha kujibu nabaki nimeinama chini najiuliza tutaishi vipi ,nikikuoa leo laazizi utalala wapi sema utakula nini,mwenzio sina pesa laazizi utavaa nini"
huyo alikuwa hashimu na kiitikio aliimba ferouz . Wakuu nitaipataje hii nyimbo? nimejaribu mtandaon kuisaka nmeikosa ila nategemea humu kuipata .nani anayo hiyo wakuu?
Old is good all the time
pure mathematician