HONGERA: Idris Sultan ni game changer kwenye Bongo movie industry

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
Namuangalia idris katika utengenezaji wa filamu bongo, tuseme wazi jamaa anakuja vizuri, kuanzia ubora wa kazi zake DANGA na leo kachia kazi nyingine NDOMU (nadhani ni promo ya condom mpya), story, script, actors na actress
Wapo poa sana. Kama mwana akiendelea hivi na akapata support kwa watanzania anaweza kuja kuibadilisha sana bongo movies industry

Watanzania wenzangu wapenzi wa movie kali za bongo tumpe support mwana



TUIPENDE NCHI YETU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom