The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,987
- 594
Asalaam aleykhum wanaJF,
Tuzo za Afrimma 2020 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tayari wameshatoa majina ya nominees na vipengele vyote. Kitu pekee nilichokipenda ni jinsi ambavyo wamezigawa tuzo ki_region yaani West, East and South Africa pia kuna tuzo za Africa nzima.
Diamond platnumz kama kawaida yake ndie msanii pekee ambae anaongoza kwa kuwa nominated mara nyingi kwenye vipengele pia msanii Zuchu ametuwakilisha vizuri kwenye vipengele viwili vya best female East Africa na best female new comer vipengele Ni Kama ifuatavyo