Duh!
Ila sijui nisemeje Ila katika miaka ya hivi karibuni Diamond ametokea kupata umaarufu sana katika tasnia ya muziki bongo....
Hata kwa wale ambao sio wafatiliaji wazuri wa muziki wanamjua...
Nieleweshe hii ni kitu gani maana kama ilivyo kwaw wabongo uwa kuna vitu vinatrend sasa naona ni EP, kila msanii utasikia EP, harmonize EP, lulu diva EP, sijui nani EP sikuwahi kusikia hiki kitu...
Naomba lyric ya psquare nyimbo inaitwa Temptation
This na Temptation!
I say this na Temptation!
Wit ah little confusion!
Infatuation!, Oh Lord
All my friends dey call me number ten
Cus I dey...
Kiukweli naumia sana kwa watu ambao na weza kusema hawanauruma na matatizo yanayo wakuta wezao kwa kuwa vimbelembele kwa kupiga picha za matukio ya vifo vya watu awajiulizi kama ndo ndugu yake...
Habari Wanajamii Natumaini tu wazima,
Leo nimeikumbuka sana zile movie za harry Potter niliziona kitambo sana Star wa Mfululizo wa hizo movie akiwa Daniel Radcliffe kama nimepatia Mzee wa...
1. Dennis Brown
2. Gregory isaacs
3. Lucky Dube
Wadau wa Reggae hivi kati ya hawa wasanii waliotamba katika vipindi vyao yupi unamuweka kwenye level ya juu naombeni msaada.
Kuna wimbo mpya umetoka unaitwa Shangazi.
Una mahadhi ya ki Mrisho Mpoto,
licha ya kuwa mwimbaji hayuko serious kama Mpoto.
Ameweka mzaha mwingi sana.
Clouds wanaupiga sana wimbo huo, je...
Mwenye kujua historia ya kundi tajwa hapo juu tafadhali hebu atujuze. Kuna wakati niliwahi kumuona Mzee Onjwangi km amebadilika yaani c yule wa zamani,kuna watu kama Mama Kayaii, Mwara n.k...
SEHEMU YA 01
Samahani kaka, sijui hiki kiti kina mtu?” aliuliza Kate au maarufu kwa jina la mama Pilima!
Ilikuwa kwenye baa ya Dolphin, iliyopo kwenye Jiji la Tanga maeneo ya Kwaminchi…
“Hapana...
Tushirikishane nyimbo za majibizano kati ya mwanaume Na mwanamke
Mfano:
Barnaba song Meseji
Foby Song Kitanda
Kidumu song Nitafanya
Tushirikishe unazozifahamu
Kwa ninavyohisi kama langa anaona haya yanayotokea kuna mengi sana atakuwa anajiuliza na kama kweli huko alipo ataweza kukutana na Ngwear atamuuliza maswali mengi sana. Kikubwa atataka ajue ni...
Intro:
Ahaaaaaa!
Abumbu mbariree, a
ammmbaaa!*8
Kenye traki hii ya Hermy B!
Verse 1:
Hey handsome boy how are
you?
Aaa Hawa hayupo nimemuacha East Zu.
I need to talk to you do you understand...
*NYIMBO BORA 100 ZA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA (BONGO FLEVA) ZA MUDA WOTE*
Imeandaliwa na Dkt. Mujwahuzi Rugayemukamu Mwenyekiti mwandamizi idara ya sanaa na burudani Chuo kikuu cha Dar Salaam...
kwa mara ya Kwanza nilipata kushuhudia fid q au ngosha akifunikwa kwenye colabo la hip hop,
kwa kujiamini ngwea alimuweka verse ya kwanza fid hku akiamini atafanya comeback ya uhakika na ndio...
kiitikio [ jide ]
Kama ni dem sikiliza (nisikilize mimi)
kama una swali uliza (niulize mimi)
hata kama sija malizaaa uliza x2
ubeti [Ngwear]
Madem ninyi nisikilizeni kwa makini mimi
hivi kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.