darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,893
- 4,023
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kipindi nakiskiliza muda huu saa 2315 cha muziki, aisee hao watangazaji wenu sijui mmewatoa wapi yani inaonyesha ni ma newbie sana ni dizain kama ya wale watangazaji wa radio za mikoani yani sikuamini maskio yangu mpaka niliposikia "unaskiliza Radio Free Africa, Africa Africaaaa"
Mkurugenzi wa hiyo radio, hii sio radio free tuliyokuwa tunaifahamu kama hali itaendelea hivi aisee tafuteni tu kazi nyingine ya kufanya.